Delarue
@delayruu
Delarue
ID: 1110861887569387521
http://www.delarue.co.tz 27-03-2019 11:11:27
281 Tweet
5 Takipçi
125 Takip Edilen
kama speaker akipishana na rais kimtazamamo akajiuzulu inamaana hiyo nnje hakuna separation of power. Nancy Pelosi walisigana na Trump mapaka kufikia Nancy kuchana hutuba ya Rais lakini hakuna kujiuzulu, Trump akawa anamwita Nancy kwa jina la crazy Nancy. #UhuruWaKujieleza
swali langu kwako zito kabwe. ulimwomba Samia Suluhu kumwachia huru Freeman Mbowe na umesema isingekuwa kelele leo angekuwa nnje. Je unataka rais aingilie uhuru wa mahakama? na what if mboe ni gaidi kweli? kwanini tusisubiri uamuzi wa mahakama yetu huyu. je umetumwa?
Kama serekali hii inaelewa vema maana ya neno Ukuu/ Mamlaka na pia inaelewa maana ya kioo cha jamani basi imwondoe Jokate Mwegelo kwenye nafasi yake mara moja.She has done Nothing against the written laws but amepoteza sifa ya Ukuu .Samia Suluhu @utumishitz