KerekaZaidi (@nelymmari) 's Twitter Profile
KerekaZaidi

@nelymmari

Social Development specialist.

ID: 238307385

calendar_today14-01-2011 21:33:38

11,11K Tweet

1,1K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Canada in Tanzania (@canadatanzania) 's Twitter Profile Photo

🇨🇦 is deeply alarmed and saddened by the brutal killing of Ali Mohamed Kibao, and strongly supports President Samia Suluhu Hassan’s urgent call for an investigation. Canada supports the right to freedom of expression, including peaceful assembly within a peaceful and stable 🇹🇿.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nawatakia kila la kheri wanafunzi 1,230,780 wa Darasa la Saba mlioanza Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi leo. Mnatoka hatua moja ya elimu na malezi kwenda nyingine katika safari yenu ya kujiandaa kutoa mchango wenu wa maendeleo kwa Taifa letu. Serikali imeandaa mazingira sahihi

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii ndio ct scan ya kichwa changu iliyopigwa pale Aga khan tarehe 30/6 mida ya mid night (0100-0200) RISASI ilipita kisogoni na kuenda kutokea kwenye kidevu. Taya ya kushoto ilivunjwa vunjwa vipande. Sehemu iliyoingilia Risasi mpaka leo nywele hzioti kabisa. Nilipopigwa

Luhaga Mpina (@luhagampina) 's Twitter Profile Photo

Mmenitoa Bungeni kwa dhuluma lakini bado haitoshi mnataka kunigombanisha na wa jimbo langu. Huwa sifanyi jambo bila ushahidi, kampuni nyingi za kuagiza mbolea mlizozipa vibali mna ubia, na nyingine za kwenu. Na kama ulanguzi wa bei za wakulima, kwani mlianza Kisesa? Nchi nzima.

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

MUDA WA KUONGEA NA MAMA HUU SASA……..🔥🔥🔥🔥🔥 COMING SOON……(Wee Mama Weee) 🎶🎵🎶🎵 #NB Itakutoa Machozi…..

Chief Lumanyika (@chieflumanyika) 's Twitter Profile Photo

Hakuwahi kudhani kama itatokea siku Moja atashambuliwa na Bunduki Kwa Kutetea rasilimali na Kukemea rushwa na ufisadi Licha ya kushambuliwa na Risasi kumi na sita Bado Alikubali kurudi Nchini na Kuendelea kuipigania Tanzania huu ndio uzalendo wa Kweli Apewe retweet 2000

Hakuwahi kudhani kama itatokea siku Moja atashambuliwa na Bunduki Kwa Kutetea rasilimali na Kukemea rushwa na ufisadi

Licha ya kushambuliwa na Risasi kumi na sita Bado Alikubali kurudi Nchini na Kuendelea kuipigania Tanzania huu ndio uzalendo wa Kweli

Apewe retweet 2000
KerekaZaidi (@nelymmari) 's Twitter Profile Photo

Brother hakikisha unadaiwa songesha, bustisha, Mgodi, Mpawa, Benki na washikaji kama saba hivi inaongeza nguvu ya akili, uvumilivu na ustahimilivu dhidi ya wapuuzi.

...hakika yatima hana mtetezi. Ila siku iyaja pale haki itakapotendeka hata wakiwa makaburini. Wasiojulikana watajulikana na wana wao ndiposa hasira na ghadhabu ya binadamu na Mungu itashuka hata kwa kizazi cha nne cha wao wasiohaki.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameonekana kueleza wazi msimamo wa serikali kuhusu ushawishi wa nje katika masuala ya ndani ya nchi. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini, mjini Moshi, Rais Samia amesisitiza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameonekana kueleza wazi msimamo wa serikali kuhusu ushawishi wa nje katika masuala ya ndani ya nchi.

Akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini, mjini Moshi, Rais Samia amesisitiza
Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Taharuki imetanda katika Manispaa ya Tabora baada ya sanamu la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere lililopo katika Kata ya Chem Chem kukutwa limeanguka na kuvunjika vipande kadhaa. Wazee wa eneo hilo wamelitaka Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kubaini kama sanamu hilo

Dr Calipso (@nulphin) 's Twitter Profile Photo

Hussein M Bashe Alitishiwa kutekwa na kwa ujasiri alisema Bungeni kwaninj Bashe leo yupo kimya ili hali matukio ya utekaji yakiwa yamepamba moto?

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Huu wimbo wa East Africa kutoka I am Rex ✊🏾 🇰🇪 Ni rahisi kujifunza na kuimba - pia tukimodify kidogo iendane na na struggle yetu najua Juliani hatamaindi 😃👏🏽 Haya wimbo huu ni kuimba kwa pamoja kesho 🔥 Sitasimama maovu yakitawala ✊🏽