
Tonny
@tonnyadamms
ID: 882295790441562113
04-07-2017 17:51:23
331,331K Tweet
2,2K Followers
2,2K Following



🚨‼️HACKING INAKUJA‼️🚨 Tahadhari Mange Kimambi Tito Magoti SATIVA17 Think Different Chadema Tanzania Kuna kazi imetolewa kufanya hacking 👇🏾 Tujipange 🔥🙌🏽





"Huyu anayefunga makanisa yanapomwambia acha kuteka watu kwanini tumuonee aibu na kumwogopa, mimi Heche sitamwogopa na tutasonga mbele." Mhe. John Heche






MwanaHabari Hoja za Polepole ni za Msingi Sana

MwanaHabari Anachosema Polepole hapa ni kwamba, CCM kama TAASISI,kinamaliza AWAMU YA 2019-20-2025,miaka 10, Vipindi Viwili vya Miaka Mitano Mitano. Awamu hii inayokuja ya 2025-30-2035 itahitaji TIMU MPYA YA WAGOMBEA URAIS NA MAKAMU WA RAIS,iwapo CCM itashinda tena katika Vipindi vyote Viwili

Tourism is a key driver of economic growth—contributing US$10.9T to global GDP and 357M jobs in 2024. The World Bank supports countries in managing tourism sustainably to maximize impact, expand local opportunities, and drive inclusive growth. wrld.bg/2qHI50Wu5bU


MwanaHabari huo ndiyo uliokuwa Utamaduni na Utaratibu wa CCM katika Kupata Wagombea Wake katika kila Awamu. Kwa Utaratibu huo,Watu wafuatao hawatapewa nafasi ya Kugombea tena Urais:Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika. Mbali na kutozingatiwa kwa Taratibu za Katiba ya CCM,na Katiba ya JMT,38

youtu.be/pqLRWoTpe54 mskilize mwenyekiti wa BAVICHA mkoa wa Mbeya Elisha Chonya akieleza namna mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi yalivo muhimu kwenye ujenzi wa democrasia nchini.