Thobias Messanga (@thobiasmessang1) 's Twitter Profile
Thobias Messanga

@thobiasmessang1

reading books

ID: 887526660526014465

calendar_today19-07-2017 04:17:00

305 Tweet

81 Takipçi

195 Takip Edilen

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Unajua kwanini Mungu ataingilia kesi yetu hivi karibuni?? ni kwa sababu kule mbele kuna giza zaidi ya hili. Kuna mtu ananyemelea kule juu. Ni mbaya sana, ni Shetani-mwanadamu, kwa nje kama mkristo, mpenda watu, mtoaji. Ila hatutafika huko. Mungu ameshamuona, ameshamzuia.

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

#CodeszaUnabii Tetemeko lilipozidi na ndege wale wenye mabaka mabaka walipoondoka wote, mti ule ukaanguka. Anguko lilikuwa kubwa sana, nchi yote ikasikia kishindo cha anguko la ule mti. Kila mtu alistaajabu. Watu hawakuamini wala kuelewa imekuaje. Nilisikie kelele za shangwe

wizdom (@world_901310) 's Twitter Profile Photo

Son of God Just think of being led by a person who has no any philosophy about Man, Economy, Social cohesion, Science, Technology and the Environment. It is just leading people because you have the nose like what they have.

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nina taarifa za uhakika kutoka kwa watu waliokamatwa na kubambikiwa kesi za uhaini fake. Hii imekua njia ya watu wa serikali kujipatia kipato.. Tarime kuna watu wametoa fedha laki tano mpaka milioni 1 kununua uhuru wao. Lakini kuna watu wana majeraha makubwa Bado wanashikiliwa

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Wakati as much as unataka kumpa benefit of the Doubt FAM, his reaction baada ya kupoteza cheo inatuambia the kind of a person he is. Na huo ndio ukweli halisi.

Thobias Messanga (@thobiasmessang1) 's Twitter Profile Photo

Father Kitima is a man of integrity, courage, justice and truth. Despite all threats and atrocities against him, he is still the same, standing up and standing out, speaking up and speaking out for his lovely nation Tanzania.We are proud of you Father. Long live

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨POLICE HAVE KILLED A YOUNG MOTHER ‼️ Police in #Tanzania continue with extrajudicial killing and yesterday in Keisangora, Nyamwaga, Tarime distirct, Police Force TZ went to harass a woman who was selling local brew! Her daughter who had just given birth tried to defend her mother and

‼️🚨POLICE HAVE KILLED A YOUNG MOTHER ‼️
Police in #Tanzania continue with extrajudicial killing and yesterday in Keisangora, Nyamwaga, Tarime distirct, <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> went to harass a woman who was selling local brew! Her daughter who had just given birth tried to defend her mother and
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.😥

Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne  alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.😥
Kumbusho Dawson Kagine (@kumbushodawson) 's Twitter Profile Photo

Wakili Msomi Adv.Alphonce Lusako , Congratulations on your admission to the Bar! Today marks a remarkable milestone as you join the ranks of Advocates of the High Court and all subordinate courts. May this new chapter be filled with courage, integrity, and unwavering commitment to

Wakili Msomi <a href="/LusakoAlphonce/">Adv.Alphonce Lusako</a>  ,

Congratulations on your admission to the Bar! Today marks a remarkable milestone as you join the ranks of Advocates of the High Court and all subordinate courts.

May this new chapter be filled with courage, integrity, and unwavering commitment to
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Unaweza ukaamka na kulala kila siku ukitafuta a voice of reasoning kutoka kwa Watawala na ukakosa. This is is normal, limeachwa litokee kwa makusudi.

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

CHALAMILA STOP THAT!? NASISI HATUTABAKI KIMYA TENA INATOSHA SASA... Mkumbusheni Albert Chalamila yeye ni mmoja wa wahalifu waliochochea vyombo vya dola kutumia nguvu zilizokithiri dhidi ya Raia. Aelewe kwamba hatutaendelea kuvumilia yeye kunyanyasa watu kwasababu tuu ni Mkuu wa

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Watoto wa Mzee Joseph Warioba, sijui kama wanatambua baraka kubwa waliyo nayo. Kuwa na baba mzuri, mwema, na mwenye uadilifu wa moyo ni neema adimu sana. Katika Dunia ya leo ambako watu wengi wanathamini vitu kuliko utu, kuwa na baba wa namna ya Mzee Warioba ni jambo la kujivunia

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza. ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake;

Ilhan Omar (@ilhanmn) 's Twitter Profile Photo

From refugee camp to Congress, I represent the American dream and that pisses Trump off. He’s going to have to deal with it. 💅🏽

Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Katika Kumbukizi yangu ya Kuzaliwa na kuomba wewe rafiki yangu unisaidie leo kuandika,kushare na kupiga kelele kuhusu utekaji na upotezwaji watu. Siku yangu hii nitaitunia kutafakari namna bora ya juanza upya na kuendeleza madai ya kurejeshwa kwa ndugu zetu waliopotezwa.

Katika Kumbukizi yangu ya Kuzaliwa na kuomba wewe rafiki yangu unisaidie leo kuandika,kushare  na kupiga kelele kuhusu utekaji na upotezwaji watu.

Siku yangu hii nitaitunia kutafakari namna bora ya juanza upya na kuendeleza madai ya kurejeshwa kwa ndugu zetu waliopotezwa.
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

DEAR TANZANIA: OPEN LETTER TO THE LAND & THE PEOPLE Kama Mtoto wa Tanganyika, ambae kitovu chake kimetupwa fukwe za Bahati ya Hindi na mwenye ndui begani, nalazimika kuongea na wewe, TANZANIA… Tanzania ni ARDHI, WATU, RASILIMALI na KATIBA. Sijaiweka Serikali kwa sababu baada

DEAR TANZANIA: OPEN LETTER TO THE LAND &amp; THE PEOPLE

Kama Mtoto wa Tanganyika, ambae kitovu chake kimetupwa fukwe za Bahati ya Hindi na mwenye ndui begani, nalazimika kuongea na wewe, TANZANIA…

Tanzania ni ARDHI, WATU, RASILIMALI na KATIBA. Sijaiweka Serikali kwa sababu baada