Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile
Temidayo

@thisistemidayo

I write & I do Videos | @CenturyCL & @hade_travel | Head of Digital - Crown Media - Tweets are my Own Thoughts

ID: 2920448416

linkhttps://tos.buzzsprout.com calendar_today13-12-2014 22:05:31

68,68K Tweet

17,17K Followers

1,1K Following

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Kwenye moja ya tukio kubwa ambalo Mwana FA hawezi kusahau ni wakati wimbo wake wa Ingekua Vipi unapigwa kwa mara ya kwanza kwenye redio. Ingekua Vipi ulitambulishwa kwa mara ya kwanza kwenye kipindi cha #BongoFlava cha Clouds Media ambacho mtangazaji alikuwa STEVE B (RIP)

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa ni wiki ya #Bongofleva kwa mujibu wa maelekezo ya Rais wa CROWN MEDIA Alikiba Leo kwenye #KASRILAKIKEKE Tumeangazia maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Polisi Dodoma yathibitisha vifo vya Watu watatu wa familia moja. Karibu kwenye KasriLaKikeke

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA YAONGOZA AFRIKA MASHARIKI Tanzania yatajwa kuongoza Afrika mashariki na kati kwa usalama mtandaoni kwa mujibu wa ripoti ya kielelezo cha usalama wa mtandao (GCI). Ripoti hiyo imeiweka Tanzania katika kundi la kuigwa ambalo linajumuisha nchi 46 duniani ikiwemo nchi tano

Crown Media (@crownmediatz) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi ya makonde, Anthony Joshua anapanda ulingoni dhidi ya Daniel Dubois ambaye historia yake ya KO ni 86.36% kijana mwenye umri wa miaka 27 pekee. Unampa nani karata yako? AJ au DD? #CrownSports

Jumamosi ya makonde, Anthony Joshua anapanda ulingoni dhidi ya Daniel Dubois ambaye historia yake ya KO ni 86.36% kijana mwenye umri wa miaka 27 pekee.
Unampa nani karata yako? AJ au DD? #CrownSports