Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile
Theophil Makula

@theophilmakula4

Mungu mkubwa

ID: 967115173118070785

calendar_today23-02-2018 19:13:20

651 Tweet

115 Followers

825 Following

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Saf sana wao Kila kitu wameonewa waliandamana Kwa ulevi wao had wakatuulia Binti yetu akwiline hawafai Hawa Piga mvua ya uhakika wawe na adabu x.com/RadioOneStereo…

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Unapofanya biashara na kulipa kodi unapunguza ile hali ya utegemezi mbona Kuna mambo mengi tu ya kujitegemea x.com/noel_isidore/s…

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Unafrahia watalii kufikia kenya harafu Ndo waje tz! hufrahii watalii kuja moja Kwa moja had Tz Tatizo mmekalilishwa na wasiotaka maendeleo, kama unamuunga mkono Tundu Lisu Wewe ni boya! x.com/noel_isidore/s…

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Ukiona MTU anakosoa ujio wa ndege Hii ujue Huyo Ni mpumbavu Fatuma karume/ baba ake alikaa miaka 10 Hata mguu wa ndege haukuonekana na Bado watz walikuwa hawana dawa,barabara mbovu, Huku tukimulisha Huyu Binti chakula Bure toka Kwa kodi zetu kweli mjinga hajiui x.com/allysalehznz/s…

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Lowasa Lin utakuja Na watu wetu waliohamia Huko kipind cha mafuriko yako? tunakusubir Mzaz Kwa hamu Naamin Huna Mda mrefu utatoka kwenye Sacco's ya mwenyekiti wa kudumu

Theophil Makula (@theophilmakula4) 's Twitter Profile Photo

Wewe Katibu wa wawajinga akili yako inaendana na u Dr kweli? Feri Imezama SAA 7 Mchana had kufikia SAA 4 Usiku watu wanapambana je ungekuwa Wewe ungefanyeje? feri ilipinduka na kubinuka juu sasa humo ndan ya maji wangefanyeje Huku wakiwa hawana vifaa zaid