Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profileg
Dr. Hamisi Kigwangalla

@HKigwangalla

#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.

ID:52328502

linkhttp://www.hamisikigwangalla.org calendar_today30-06-2009 06:49:53

28,5K Tweets

1,2M Followers

661 Following

Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo kama yeye Tundu Lissu angeshinda bid yake ya Urais, watu wa Tabora tungeweza kusema tuna Rais Msingida ama Rais Mnyaturu! Ubaguzi hauishii kwenye Utanganyika na Uzanzibari tu, huenda bali zaidi.

Wazanzibari nao wangeweza kusema tuna Rais Mtangayika!

Sijui Tundu…

account_circle
DR. Amani Kuney(@AmaniKuney) 's Twitter Profile Photo

Dr. Hamisi Kigwangalla Simba Sports Club Tushachoka, nilikua nakupinga na kutokukubaliana na wew juu ya mstakabali wa timu yetu ila mkuu ndo nakuelewa leo.. Simba Sports Club kunautapeli mwingi, ubabaishaji, uongozi unatufanyia sisiyo yajua watuachie tu timu yetu, em MO aindoke zake tu

account_circle
Jonijo john(@Jchacha112) 's Twitter Profile Photo

#GWIJI🔴 Mie tayari mpaka pale Dr. Hamisi Kigwangalla atakapo amua kushika hatamu ndani ya Simba Sports Club atuongoze kwenda nchi ya ahadi, nchi ya makombe mengi ya thamani ( TotalEnergiesCAFCL & TotalEnergiesCAFCC 🏆 ) nchi yenye quality players pamoja na investors wasio na masimango kama ya Mohammed Dewji MO

account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Hivi status ya governance ya Simba Sports Club itakaa kwenye transition period (kipindi cha mpito) mpaka lini? Toka club “iuzwe” bila “malipo” mpaka leo ni miaka mingapi imepita? Maana kunasemwa kuna Bodi ya Club…hii imepata wapi uhalali wake? NB: uhalali hupatikana kwa kufuata…

Hivi status ya governance ya @SimbaSCTanzania itakaa kwenye transition period (kipindi cha mpito) mpaka lini? Toka club “iuzwe” bila “malipo” mpaka leo ni miaka mingapi imepita? Maana kunasemwa kuna Bodi ya Club…hii imepata wapi uhalali wake? NB: uhalali hupatikana kwa kufuata…
account_circle
Dr. Hamisi Kigwangalla(@HKigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Homeboy, lima peleka watoto shule mwanangu. Wewe ukishindwa kutoboa, wanetu watatoboa. Waambie wasome sayansi wawe madaktari kama uncle Kigwangalla! 🤛🏾💪🏾

account_circle
UNIQUE DOCTOR 🩺(@_afyatips_) 's Twitter Profile Photo

Deograsius Andrew🇹🇿 Dr. Hamisi Kigwangalla Dullah_theKing🇹🇿 Enemy of Wickedness 🇸🇴 🦁 𝐁 𝐈 𝐇 𝐄 𝐌 𝐎™ Kaisari Tinubu Mfalme 👑🇹🇿 Kanuni kubwa ya saving ni..
Kuishi chini ya matumizi
Kama unapata mshahara wa let's say 500k
Expenses zako zisiguse 400k ukijumlisha kila kitu...
Apo unatengeneza wigo wa kusave na inawezekana sio hata conspiracy theories

account_circle