Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile
Joseph Theophill

@theophilljoseph

PHYSICS & BIOLOGY(PB) TEACHER, POLITICAL AND SPORT AFFAIRS PUNDIT,HUSBAND,FATHER

ID: 739699621677682688

calendar_today06-06-2016 06:05:07

12,12K Tweet

1,1K Followers

5,5K Following

Adv. Dickson Matata (@advmatata) 's Twitter Profile Photo

Muda mfupi baada ya majina ya watia nia wa Ubunge kutangazwa na CCM nimekutana na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa Mh. Luhaga Mpina katika mazungumzo yetu nimempa hongera kwa kukatwa jina lake. No reforms No Election

Muda mfupi baada ya majina ya watia nia wa Ubunge  kutangazwa na CCM nimekutana na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa Mh. Luhaga Mpina katika mazungumzo yetu  nimempa hongera kwa kukatwa jina lake.

No reforms No Election
Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Upo CHAUMMA lakini kila siku unazungumzia Chadema Tanzania una Akili kweli?Wewe ni sawa na Mwanamme alieachana na mwanamke kwa Talaka lakini kila siku unamuongelea,Tumia mda mwingi kuzungumzia chama chako.

Temidayo (@thisistemidayo) 's Twitter Profile Photo

“Eng. Hersi ni kama MALAIKA kwangu, amenifanyia Vitu vikubwa kwenye maisha yangu Mungu ndio anajua, ni Baba yangu, hata Singida niliwaambia Yanga ni nyumbani kwangu” - Jonathan Sowah. - Hakuna kulalamika wakuu😂 Siku yenu yaja.

“Eng. Hersi ni kama MALAIKA kwangu, amenifanyia Vitu vikubwa kwenye maisha yangu Mungu ndio anajua, ni Baba yangu, hata Singida niliwaambia Yanga ni nyumbani kwangu” - Jonathan Sowah.

- Hakuna kulalamika wakuu😂 Siku yenu yaja.
Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Hukuwahi tangazwa Mshindi Ukiwa chama kikubwa na cheye wafuasi wengi Chadema Tanzania leo hii upo kwenye chama ambacho hakina hata wanachama 1000 nchi nzima,Huu ni ushamba wa siasa,

Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 21.01.2025 ilikuwa ni siku Maalum ya ukombozi Kwa Chadema Tanzania Kutoka kuwa Succoss ya mtu mmoja na kuwa Taasisi ya watu,Malaya wa siasa ambao waliingia kwenye chama kwa mihemuko watatoka ila Wenye akili na walioingia kwa kuvutiwa na seea ya chama(Manifesto) watabaki,

Tarehe 21.01.2025 ilikuwa ni siku Maalum ya ukombozi Kwa <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> Kutoka kuwa Succoss ya mtu mmoja na kuwa Taasisi ya watu,Malaya wa siasa ambao waliingia kwenye chama kwa mihemuko watatoka ila Wenye akili na walioingia kwa kuvutiwa na seea ya chama(Manifesto) watabaki,
Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Imagine katumia miaka 30 ya ujana wake kukijenga chama na miaka 21 kama mwenyekiti na akashindwa uchaguzi kwa haki tena live,Ila leo anakihujumu chama na viongozi wake indirectly,Walio karibu nae Wamushauri Ataaibika

Amekuwa Rais wa Uganda tangu Mwaka 1986 ana Miaka 39 Madarakani,Chama chake cha NRM kimemteua kugombea tena Urais Mwakani 2026,Mwezi ujao anafikisha Miaka 81. Nani Alililoga Bara la Afrika?

Amekuwa Rais wa Uganda tangu Mwaka 1986 ana Miaka 39 Madarakani,Chama chake cha NRM kimemteua kugombea tena Urais Mwakani 2026,Mwezi ujao anafikisha Miaka 81.

Nani Alililoga Bara la Afrika?
Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Luhaga Mpina amechagua chama ambacho hakifanyi serious politics bali wanafanya udalali wa Siasa,Misimamo ya Mpina haiendani na siasa wanazofanya ACT,Huyu alitakiwa aende CDM kwani huko ndo kunakomufaa kulingana na misimamo yake,Kupanga ni kuchagua ila sio Kila chaguo ni Sahihi

Tamaa Mbele Mauti nyuma,Bulaya,Matiko,Msigwa na wengine walitakiwa waombe msamaha na waingie CDM and then chama kiingie kwenye uchaguzi wangeshinda ubunge ,Je wataendelea kukaa CCM ambako walichokuwa wanatafta hawajakupata?

Dr Lwaitama (@lwaitama1) 's Twitter Profile Photo

Uzuri tunawajua mashahidi wanaolengwa kufichwa, ni Mstaafu na genge la wafuasi wake aliowatanguliza Chaumma, kila ubaya utalipwa hapa hapa duniani.

Joseph Theophill (@theophilljoseph) 's Twitter Profile Photo

Kama ulilijua hilo la kuwa unaweza kuwawakilisha wananchi bila kuwa bungeni why uligombea?Kubali umeshindwa ila ulitaka uwawakilishe wananchi kupitia bunge

LYENDA (@iamlyenda) 's Twitter Profile Photo

Wamemuweka jela Mwenyekiti wetu. Haitoshi, wamekiweka jela chama chetu. ANC walilipa gharama kama hii. Mwenyekiti wao Nelson Rolinlanhla Mandela alifungwa jela na chama chake kikafutwa na Makaburu Mandela akaja kuwa Rais. ANC kikawa chama tawala. Msiogope. Tutashinda hii vita

Wamemuweka jela Mwenyekiti wetu. 
Haitoshi, wamekiweka jela chama chetu. 
ANC walilipa gharama kama hii. Mwenyekiti wao Nelson Rolinlanhla Mandela alifungwa jela na chama chake kikafutwa na Makaburu
Mandela akaja kuwa Rais. ANC kikawa chama tawala. 
Msiogope. Tutashinda hii vita
Bob Chacha Wangwe (@bobwangwe) 's Twitter Profile Photo

Kuna wale waliobisha kuwa chanzo sio “kukosa madaraka” au “kutumika na dola”. Hawa hapa wamesema wenyewe. Wanaamini walitakiwa kuwa madarakani wao tu na sio watu wengine!

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kuna unafiki mkubwa katika jamii za Afrika mtu akiwa mkatili, dhalimu na mpinga haki, anapofariki husafishwa kwa maneno ya sifa kana kwamba alikuwa mzalendo. Huu ni upumbavu unaoendeleza ukatili na kuwapa watesi ujasiri wa kuumiza bila woga wa historia. Watu wanapaswa kuogopa

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

*“Chadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafu”* *“Mimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa

*“Chadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafu”*

*“Mimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa