DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile
DailyGospel

@thegospel4all

Sharing the Good News of Jesus Christ. Daily inspiration, scriptures, and messages of faith and hope. Join us on our mission to spread the Gospel to the world.

ID: 1714263457736892416

calendar_today17-10-2023 12:58:23

1,1K Tweet

241 Takipçi

180 Takip Edilen

DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

SOMA 📌Katika Kutimiza Mapenzi ya Mungu hakuna Alternative..Ni kuomba tu, 📌Usipo omba utatafuta alternative nje ya mpango wa Mungu . 📌Usipo omba Utadanganywa

DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

Maisha yetu ya maombi hayapaswi kuongozwa na kile kinachotokea, bali shauku ya kutaka mapenzi ya Mungu kutimia.📌 Lengo kuu la maombi ni kufanya mioyo yetu imlingane na mapenzi Yake. Yesu alionyesha hili katika Bustani ya Gethsemane

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Bony kipindi watu wanamPost humu kasinzia kwenye Gari kila mtu alikua anamcheka… Hadi watu wakaweka challenge ya kumpiga picha Bony popote pale atakapo onekana…picha zake zilijaa humu! Bony hajaanza leo kupost mambo yake… Bony hata kipindi analewa kwa

DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Christmas lakini pia, ni Birthday ya Mwl Christopher Mwakasege🍰 Mungu azidi kumtunza,amekuwa baraka kwa wengi. 📌Pia niwatakie furaha ya Krismas na mwaka mpya Wapendwa wangu katika Kristo🎄 Mungu awabariki sana🙏🏼

Leo ni Christmas lakini pia, ni Birthday ya Mwl Christopher Mwakasege🍰
Mungu azidi kumtunza,amekuwa baraka kwa wengi.

📌Pia niwatakie furaha ya Krismas na mwaka mpya Wapendwa wangu katika Kristo🎄

Mungu awabariki sana🙏🏼
DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

Shalom wapendwa Baada ya kimya kirefu,i'm back😊 By the grace of God ,Kwazia february tutaendelea kufahamishana kuhusu tenzi na nyimbo mbali mbali za injili.

Shalom wapendwa
Baada ya kimya kirefu,i'm back😊
By the grace of God ,Kwazia february tutaendelea kufahamishana kuhusu tenzi na nyimbo mbali mbali za injili.
DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

Ila Mafarisayo😁 Yani miezi 11 yote hawaoni tatizo kutenda dhambi ila huu mwezi ndio wanaishi utakatifu as if Mungu huwa yupo likizo kwa hiyo miezi iliyobaki kwamba haoni maovu wanayofanya.

DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

SHALOM SHALOM👋🏽 MKAZI WA KILIMANJARO KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU Na MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE Retweet iwafikie wengi Mungu akubariki sana❤️

SHALOM SHALOM👋🏽
MKAZI WA  KILIMANJARO KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU

Na MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE

Retweet iwafikie wengi
Mungu akubariki sana❤️
DailyGospel (@thegospel4all) 's Twitter Profile Photo

Mimi huwa najiweka tu kwenye hiyo nafasi,na assume ingekuwa ni mimi,hata mtu akizidisha chenchi namrudishia aisee maana i know how it feels mtu akikosa,na hiyo kazi ndio kula yake bado familia inamsubiri arudi na kitu nyumbani,Tuwe wema tu hata kama wanazingua sometimes🙌🏽