Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile
Homeless

@jofreykimaro

Truck spares

ID: 1232647858203119616

linkhttp://www.gnearcreativity.com calendar_today26-02-2020 12:46:33

14,14K Tweet

707 Takipçi

679 Takip Edilen

M a n o t i (@madeinmusoma) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale mnaopenda kusali Zaburi. Unaweza kuanza na Zaburi 51 ya toba, kisha Zaburi 35 ya kuomba kupiganiwa halafu Zaburi 91 ya ulinzi na baraka, malizia na 23 ya wingi na baraka. 🙏🏻

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

Kuna zile za hapa hom, izo tutaacha wapigiane kura wenyewe lakini za nje ya hapa hom tafadhali sana sisi ndio tutajua Nani anafaa kupigiwa.

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

Ushauri wao kwetu ulikua mzuri tu na sisi kwa kuonyesha kuupokea. Hatufuatilii tena mziki ni kupiga kazi hadi na wao washawishike kuacha kupoteza muda kwenye mziki, WAFANYE KAZI

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

"wia inu e sirueshon ez e neshino..... Blaaa blaaaa" Au sio mwanetu 😂😂😂 Hii ung'eng'e wa US wakiiskia they'll be like " get the hell out here nigger f*k you"

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

Ni kweli ingefaa kua hvyo lkn kwa umasikini tulionao huko ni kuongeza gharama za uendeshaji nchi. Cha muhimu ni kuibadili tu mifumo mibovu na katiba tupate mpya

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

Kuna Jamaa ni mpumbavu sana alafu ni nurse. Mjamzito alipojifungua alipoteza faham wao wakaurekod uke wake jinsi umechanika wakawa wanaushona. Ile vid iliniuma na kumchukia jamaa. Serikali iruhusu tu watu kuingia na wapendwa wao au waume zao hizo Sehem.

Homeless (@jofreykimaro) 's Twitter Profile Photo

Wanaua biashara zetu tena makusudi kabisa. Unaanza biashara mwaka 2026 lkn vibali na kodi unalipishwa Sawa na aliefanya biashara miaka 5.