The Better You
@thebetteryou22
Trainings on Emotional intelligence | Leadership | Team building | Communication | Work life balance
ID: 1585853026476212225
https://mainstack.me/jiwa 28-10-2022 04:36:55
213 Tweet
211 Followers
125 Following
Mh. Jokate Mwegelo hongera kwa majukumu. Nimesimama kwa niaba ya vijana wengi waliokosa ajira na wanapambana KIUCHUMI. Vijana wengi wako mtaani na wengi wanahitaji kujifunza UJUZI mbalimbali ili waweze Kufanikiwa KIUCHUMI na kuzikwamua familia zao na jamii zao. Binafsi, niemejitoa
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu shkamoo ๐๐พ Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyejiajiri katika ofisi yangu, lakini pia ninajishughulisha na maswala ya Biashara na Masoko. Kubwa zaidi ninatoa elimu mbalimbali kuhusu Biashara kwa jamii yangu ya