MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile
MO 29 TV

@mo29tv

TV YA WANANCHI, KWAAJILI YA KUMBUKIZI YA MAUAJI YA RAIA 29.10.2025.

ID: 2036308861658034176

calendar_today24-03-2026 05:07:42

105 Tweet

3,3K Followers

3 Following

MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

Gen.Z wacharuka watoa masaa 24 Pauline Pallagyo aachiliwe huru, Pauline alikamatwa usiku wa kuamkia leo na Polisi kinyume cha taratibu na Sheria. Baada ya tamko hilo Polisi wajitokeza na kukili kumshikilia Pauline nguvu ya umma imeshinda.

Gen.Z wacharuka watoa masaa 24 Pauline Pallagyo  aachiliwe huru, Pauline alikamatwa usiku wa kuamkia leo na Polisi kinyume cha taratibu na Sheria.

Baada ya tamko hilo Polisi wajitokeza na kukili kumshikilia Pauline nguvu ya umma imeshinda.
MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

Mnatakiwa kupunguza bei ya mafuta sio kupunguza magari kwenye msafara wa SAMIA, maisha yamekua magumu nauli zimepanda.

MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuwa leo, tarehe 10 Aprili 2026, Makamu Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa John Heche, ameongoza jopo la viongozi wa chama katika kikao na ujumbe maalum wa Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu

Vitisho vimekuwa vingi kuliko kushusha bei ya mafuta Zambia wameweza, Kenya hawajapandisha, Uganda hawajapandisha Rwanda hawajapandisha ni Tanzania tu.

MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS Watangazaji hawa wa Radio Kyela FM 1. Tumsifu Nsangalufu katina. 2. Emmy Eliud Haisule. Wamekamatwa na jeshi la Polisi mchana wa leo na muda huu wanasafirishwa kutoka Kyela kuelekea Mbeya, wanatuhumiwa kusoma Taarifa hii iliyoandikwa na gazeti la Mwanahalisi

MO 29 TV (@mo29tv) 's Twitter Profile Photo

#BreakingNews Maamuzi yametoka Mahakama ya rufaa Dodoma zuio la chama kufanya siasa na shughuli zake limefutwa. Sasa CHADEMA ipoo huru kuendelea na shughuli za siasa.

#BreakingNews

Maamuzi yametoka Mahakama ya rufaa Dodoma zuio la chama kufanya siasa na shughuli zake limefutwa.

Sasa CHADEMA ipoo huru kuendelea na shughuli za siasa.