Kasimba Nolasco (@kasimbanolasco1) 's Twitter Profile
Kasimba Nolasco

@kasimbanolasco1

Mwenyejiti wa vijana wa chadema(bavcha) jimbo LA iringa mjini 2019_2024

ID: 1445109249101684738

calendar_today04-10-2021 19:31:53

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Anna Tibaijuka (@annatibaijuka) 's Twitter Profile Photo

Tunapoadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanganyika, naomba kuwataarifu kuwa Sijaandika barua yoyote ya wazi kwa Rais Trump inayosambaa mitandaoni, wala yale maandiko mengine yanayotengenezwa kwa AI. Msimamo na ushauri wangu kuhusu masuala muhimu ya taifa letu huwa nauweka wazi

Kasimba Nolasco (@kasimbanolasco1) 's Twitter Profile Photo

Hii takataka ukijaza YOutong za mikoani zote ndo idadi ya watu wanaume aliotembea nao na Hana ATA mtoto wa kufutia machizi🤣🤣

Hii takataka ukijaza YOutong za mikoani zote ndo idadi ya watu wanaume aliotembea nao na Hana ATA mtoto wa kufutia machizi🤣🤣
Kasimba Nolasco (@kasimbanolasco1) 's Twitter Profile Photo

Ivi CHAUMA ni chama cha upinzani ama ni magharasha ya dolla Maana unakuta jitu lina bisha harakati zinazofanywa na Chadema Tanzania utafikiri ni mbogamboga na yenyewe Lkn ukweli ni mwisho mwa mawindo MBWA Hana Thamani tena ndicho walichovuna CHAUMA

Maggy Muggy (@muggymaggy) 's Twitter Profile Photo

JWTZ, JKT, TISS, Police, Magereza, Uhamiaji.. Watumishi wa umma Sector ya Afya, Elimu, Kilimo, Madini, Mazingira, TRA, Usafirishaji na all Munajua ndani ya mioyo yenu jinsi Hali ya Nchi na Taifa ilivyo mbaya kila eneo! Ila mmechagua kuungana na Adui kuumiza waTZ! #MunguYuaja

Kasimba Nolasco (@kasimbanolasco1) 's Twitter Profile Photo

Yawezekana sisi Waafrika tumerogwa aisee. Huyu ni Mgombea wa Urais kule Uganga,Bobi Wine siku ya jana alipigwa na vikosi vya ulinzi na Usalama na kisha kuchaniwa shati lake,kisa tu mwamba amekuwa mpinzani mkubwa sana wa DIKTETA Yoweri Museveni. Mzee Yoweri Museveni anafanya huu

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Wanatangaza AMANI huku kwa siri wanatesa watu. Huyu ni Katibu Mkuu mstaafu wa Bavicha Taifa. Walimkamata na kumtesa kwa shoti za umeme wakitaka awaeleze namna Chadema ilivyoratibu maandamano ya October 29. 2025. Wamembambika kesi ya UHAINI na kumtupa gerezani Bunda.

Wanatangaza AMANI huku kwa siri wanatesa watu. Huyu ni Katibu Mkuu mstaafu wa Bavicha Taifa. Walimkamata na kumtesa kwa shoti za umeme wakitaka awaeleze namna Chadema ilivyoratibu maandamano ya October 29. 2025. Wamembambika kesi ya UHAINI na kumtupa gerezani Bunda.
Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

ALERT: Tunaona wana Kizimkazi wanataka kupita na Comrade Nchimbi! Nadhani sasa wananchi wanapata picha ni kwa nini Biteko na Bashe walitupwa nje. Wenye CCM, angalieni hili swala.

ALERT: Tunaona wana Kizimkazi wanataka kupita na Comrade Nchimbi! Nadhani sasa wananchi wanapata picha ni kwa nini Biteko na Bashe walitupwa nje. Wenye CCM,  angalieni hili swala.
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Mke wa Mh. Tundu Lissu leo, aliungana na watanzania na wapenda haki katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na bunge la ulaya lisitishe misaada na kutoa visa kwa maofisa wote wa serikali

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Leo Mke wa Mh. Tundu Lissu Bi Alicia Lissu, aliungana na watanzania na wapenda haki katika Bunge la Ulaya, kupinga ukatili uliotokea Tanzania na kusisitiza rais Samia atoke madarakani na Bunge la Ulaya lisitishe misaada na kutoa visa kwa maofisa wote wa Serikali haram ya

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

In Belgium today, Tundu Antiphas Lissu’s wife demanded democracy, the rule of law, and human rights in Tanzania. Her husband has been jailed 8+ months on trumped-up treason charges and hasn’t been brought to court for nearly a month. The world’s silence is complicity in this injustice.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Huyu Anaitwa baraka wakati wenzake wanaachiwa yeye na wenzake 11 walibaki Magereza. Fikilia baraka hawezi kutembea Miguu yote imevunjwa mpaka abebwe ndo kufika kwake mahakamani. Alafu mtu atakuja kusema tusameheane🤷‍♂️

Huyu Anaitwa baraka wakati wenzake wanaachiwa yeye na wenzake 11 walibaki Magereza.

Fikilia baraka hawezi kutembea Miguu yote imevunjwa mpaka abebwe ndo kufika kwake mahakamani.

Alafu mtu atakuja kusema tusameheane🤷‍♂️
Kasimba Nolasco (@kasimbanolasco1) 's Twitter Profile Photo

Ni uzezeta Tu inapofika swala la financial issues mnashilikishwa vzr Tu,mkianza kuhoji juu ya haki zenu mnaonekana wahaini na kuchochea fujo

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Serikali dhalimu isiyo na ridhaa, serikali ambayo iko kwenye madaraka kwa damu za maelfu ya Watanzania… Nimesema narudia tena:: huwezi kuongoza wananchi kwa kuwajaza hofu Bali kwa ushawishi… Viongozi wa chadema Nchi nzima kwa mamia wanashikiliwa , kinyume cha sheria kwenye

Serikali dhalimu isiyo na ridhaa, serikali ambayo iko kwenye madaraka kwa damu za maelfu ya Watanzania…

Nimesema narudia tena:: huwezi kuongoza wananchi kwa kuwajaza hofu Bali kwa ushawishi…

Viongozi wa chadema Nchi nzima kwa mamia wanashikiliwa , kinyume cha sheria kwenye
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Nchi ambayo inaonewa wivu na mabeberu wananchi hawana maji wiki ya tatu sasa, wanaoga mate. Serikali yake inasema ukosefu wa maji ni kutokana na kuchelewa kwa mvua. Kwa hiyo mvua zikikosekana kwa miezi sita ijayo, wananchi watakosa maji kwa miezi sita? Serikali ina watu gani hii?