Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profileg
Abdul Nondo 🇹🇿

@abdulnondo2

ID:908058232484233219

calendar_today13-09-2017 20:02:08

24,4K Tweets

122,2K Followers

2,4K Following

Dr. Nasra Nassor Omar(@drnasranassor) 's Twitter Profile Photo

Kenya Kunani?
Watu wangu wa nguvu unaweza kunipigia kura kwenye kipengele cha 'Healthpreneur of the year 2024' hapa

ea.sheawards.africa/vote/Q7VFOZU2
Kumbuka Kujisajili kwanza kabla ya kupiga kura.

Unaweza kupiga kura 1 kila siku kwa muda wa siku 23 zijazo .

Shukran sana.

Kenya Kunani? Watu wangu wa nguvu unaweza kunipigia kura kwenye kipengele cha 'Healthpreneur of the year 2024' hapa ea.sheawards.africa/vote/Q7VFOZU2 Kumbuka Kujisajili kwanza kabla ya kupiga kura. Unaweza kupiga kura 1 kila siku kwa muda wa siku 23 zijazo . Shukran sana.
account_circle
Mwl. Macheyeki Philbert Jr(@PMacheyeki) 's Twitter Profile Photo

Ahsante sana Kiongozi wa Chama, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwa imani uliyo nayo kwa Vijana. Umekuwa Kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuinua Vijana kuzifikia ndoto zao. 90% ya Vijana tulivutiwa na kujiunga na siasa za Mageuzi kutokana na Ujasiri, Hoja na misimamo yako.

Hatutokuangusha📌

Ahsante sana Kiongozi wa Chama, Ndugu @zittokabwe kwa imani uliyo nayo kwa Vijana. Umekuwa Kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuinua Vijana kuzifikia ndoto zao. 90% ya Vijana tulivutiwa na kujiunga na siasa za Mageuzi kutokana na Ujasiri, Hoja na misimamo yako. Hatutokuangusha📌
account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Ali Kamwe , Privaldinho hili Bango liwekwe Pale Buguruni , lingine Kariakoo, lingine Posta , lingine Ubungo, Lingine Mwenge, lingine Mbezi , lingine Mazense alafu yapelekwe na mikoani yawekwe.

@AliKamwe , @privaldinho hili Bango liwekwe Pale Buguruni , lingine Kariakoo, lingine Posta , lingine Ubungo, Lingine Mwenge, lingine Mbezi , lingine Mazense alafu yapelekwe na mikoani yawekwe.
account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Kongamano la Ngome ya vijana_Official wa chama cha ACTWazalendo litafanyika Kesho trh 21 Aprili katika Ukumbi wa -Kombeni ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Othman Masoud Othman, M'Kiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa.

Kongamano la @NgomeyaVijana wa chama cha @ACTwazalendo litafanyika Kesho trh 21 Aprili katika Ukumbi wa #PiccaDillyHall -Kombeni ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mhe. Othman Masoud Othman, M'Kiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa. #10MamlakaKamili #Ngomeikokazini #TwenzetuZanzibar
account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

KUMEKUCHA ZANZIBAR

Ngome ya vijana_Official Taifa inawaalika Vijana wote kuhudhuria Kongamano la Vijana litakalofanyika Kesho 21 April Visiwani Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi atakuwa ni Mwenyekiti wa ACTWazalendo Taifa Mhe. Othuman Masoud

KUMEKUCHA ZANZIBAR @NgomeyaVijana Taifa inawaalika Vijana wote kuhudhuria Kongamano la Vijana litakalofanyika Kesho 21 April Visiwani Zanzibar ambapo Mgeni Rasmi atakuwa ni Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Taifa Mhe. Othuman Masoud #10MamlakaKamili #Ngomeikokazini #TwenzetuZanzibar

Mashabaki wakifuatilia kwa ukaribu mechi kati ya Mwanga United Vs Majengo FC katika Uwanja wa Kawawa ,League ya Wazalendo CUP inayoratibiwa na Ngome ya vijana_Official Mkoa wa Kigoma kuelekea Maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chetu ACT-DAY tar.5/05/2024.

Mashabaki wakifuatilia kwa ukaribu mechi kati ya Mwanga United Vs Majengo FC katika Uwanja wa Kawawa ,League ya Wazalendo CUP inayoratibiwa na @NgomeyaVijana Mkoa wa Kigoma kuelekea Maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chetu ACT-DAY tar.5/05/2024.
account_circle
Aidan Eyakuze(@aeyakuze) 's Twitter Profile Photo

This is an invitation for you to write in 700-1,000 words the features and characteristics of the Tanzania you want in the next 25 years. Karibu!

account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Mashabaki wakifuatilia kwa ukaribu mechi kati ya Mwanga United Vs Majengo FC katika Uwanja wa Kawawa ,League ya Wazalendo CUP inayoratibiwa na Ngome ya vijana_Official Mkoa wa Kigoma kuelekea Maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chetu ACT-DAY tar.5/05/2024.

Mashabaki wakifuatilia kwa ukaribu mechi kati ya Mwanga United Vs Majengo FC katika Uwanja wa Kawawa ,League ya Wazalendo CUP inayoratibiwa na @NgomeyaVijana Mkoa wa Kigoma kuelekea Maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama chetu ACT-DAY tar.5/05/2024.
account_circle
Lusungu Mubofu(@theutdcode) 's Twitter Profile Photo

Jambo zuri hili. Inapendeza mno kuona wanasiasa wanasoma vitabu
Pengine ukitoa wanasheria katika watu wanatakiwa kusoma sana vitabu ni wanasiasa
Tamaduni nzuri hii Kaka Nondo👏🏾

account_circle
Ismail Jussa(@IsmailJussa) 's Twitter Profile Photo

Abdul Nondo 🇹🇿 Unastahiki zawadi hiyo Abdul Nondo 🇹🇿 kwa sababu unapenda kusoma. Naamini maarifa utakayoyapata na tafakuri utakaoifanya ya yale yaliyomo kwenye vitabu hivyo itakujenga kuwa kiongozi mzuri zaidi. .

account_circle
Abdul Nondo 🇹🇿(@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

Shukrani zangu za dhati kwa Makamu Mwenyekiti wetu wa chama Zanzibar ndug. Ismail Jussa kwa zawadi hii kubwa ya vitabu.Chama chetu kinaamini katika maarifa na kujisomea ili kuwa na fikra pevu katika Ujenzi wa Chama chetu,Taifa letu na Jamii yetu.Ahsante sana Senior Ismail Jussa

Shukrani zangu za dhati kwa Makamu Mwenyekiti wetu wa chama Zanzibar ndug. @IsmailJussa kwa zawadi hii kubwa ya vitabu.Chama chetu kinaamini katika maarifa na kujisomea ili kuwa na fikra pevu katika Ujenzi wa Chama chetu,Taifa letu na Jamii yetu.Ahsante sana Senior @IsmailJussa