Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Gari umeinunua Ulaya milion 6, serikali ya Samia Suluhu inachukua kodi milion 16 kwenye gari ulilonunua milion 6. Huu ni ujambazi unaofanywa na serikali TRA Tanzania. Gari hili Zambia, Malawi, DRC kodi unalipia milion 3 tu. Hii serikali tunapaswa kuiondoa hata kwa nguvu ya Umma.

Gari umeinunua Ulaya milion 6, serikali ya @SuluhuSamia inachukua kodi milion 16 kwenye gari ulilonunua milion 6. Huu ni ujambazi unaofanywa na serikali  @TRATanzania. Gari hili Zambia, Malawi, DRC kodi unalipia milion 3 tu. Hii serikali tunapaswa kuiondoa hata kwa nguvu ya Umma.
account_circle
Mdude Chadema(@mdudechadematz) 's Twitter Profile Photo

Jana tuliandika hapa kuhusu kodi kubwa 150% zinazotozwa na serikali ya Samia Suluhu unapoagiza gari nje. Kuna wanaosema kodi kubwa inasababishwa na umri wa gari linalozidi miaka 10. Gari hilohilo toleo la 2015 ambalo liko chini ya miaka 10 kodi yake ni milion 25 unafuu uko wapi?

Jana tuliandika hapa kuhusu kodi kubwa 150% zinazotozwa na serikali ya @SuluhuSamia unapoagiza gari nje. Kuna wanaosema kodi kubwa inasababishwa na umri wa gari linalozidi miaka 10. Gari hilohilo  toleo la 2015 ambalo liko chini ya miaka 10 kodi yake ni milion 25 unafuu uko wapi?
account_circle
The Chanzo(@TheChanzo) 's Twitter Profile Photo

⚫️Wafanyakazi wamechangia mapato ya kodi ya shilingi Trilioni 12.4 kwa kipindi cha miaka mitano.

⚫️Asilimia 60 ya wafanyakazi wanalipwa kiwango kisichozidi laki 5.

⚫️Wafanyakazi wanaolipwa mishahara inayozidi shilingi milioni 1.5 ni asilimia tano tu.

#MeiMosi2024
account_circle