Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

'Young Africans SC sasa ni rasmi itatangaza biashara na huduma za Ndege ya Air Tanzania, Ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Kazi kubwa inayofanywa na Serikali yetu ni kazi ambayo inapaswa kutangazwa vyema ili Watanzania wapate kujua kuhusu huduma bora za Air Tanzania Rais wa…

'Young Africans SC sasa ni rasmi itatangaza biashara na huduma za Ndege ya Air Tanzania, Ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. Kazi kubwa inayofanywa na Serikali yetu ni kazi ambayo inapaswa kutangazwa vyema ili Watanzania wapate kujua kuhusu huduma bora za @AirTanzania Rais wa…
account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Usafiri wa anga Tanzania ni anasa. Sijawahi kuelewa akili za Magufuli serikali kuhodhi soko la biashara ya anga ambayo imewashinda. Air Tanzania - Twiga comfort nauli ni Tsh 636,000 kutoka DSM - Kigoma. Mwaka 2017 wandewa tulipaa angani kwa bei ya Tsh 69,000. Serikali ya kihuni.

Usafiri wa anga Tanzania ni anasa. Sijawahi kuelewa akili za Magufuli serikali kuhodhi soko la biashara ya anga ambayo imewashinda. @AirTanzania - Twiga comfort nauli ni Tsh 636,000 kutoka DSM - Kigoma. Mwaka 2017 wandewa tulipaa angani kwa bei ya Tsh 69,000. Serikali ya kihuni.
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Kwanza Pole sana kwa huyu Mdau, amejaribu kuwabeba Air Tanzania Lakini lao analia, anamsongo anaongea kwa uchungu

-- ATC wame cancel ndege kutoka CHINA wametelekeza abiria,
-- Hakuna huduma ya Hotel
-- Hakuna utaratibu wa kusaidia VISA
-- Hakuna maafisa ubalozi Airport
--…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Pumzika kwa amani Capt. Gadner G. Habash. Hakika pia alikuwa mtu wa utani mwingi na mkikaa lazima mcheke. Nitaikumbuka safari yetu hii ya Uzinduzi wa AirTanzania Jijini Nairobi hakika tulikuwa na utani mwingi ndani yake. Rest in peace, Legend Gadner.

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

CAG anasema hakuna mjumbe ndani ya bodi ya Air Tanzania mwenye ujuzi na uzoefu katika masuala ya usafiri wa anga. Mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi ATCL wanateuliwa na RAIS. Wajumbe wa bodi wanateuliwa na WAZIRI. Kuna wakati unasema nchi yetu ni ghetto inaendeshwa kwa autopilot.

CAG anasema hakuna mjumbe ndani ya bodi ya @AirTanzania mwenye ujuzi na uzoefu katika masuala ya usafiri wa anga. Mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi ATCL wanateuliwa na RAIS. Wajumbe wa bodi wanateuliwa na WAZIRI. Kuna wakati unasema nchi yetu ni ghetto inaendeshwa kwa autopilot.
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

🎥 Mtanzania anayeishi nchini China Issa Azam ameomba radhi baada ya kupost video kwenye ukurasa wake wa instagram kuhusu abiria wa Air Tanzania kutelekezwa Guangzhou, China✍️

Uongozi wa Air Tanzania ulitoa taarifa kwa umma na kukanusha uvumi wa taarifa hizo.

account_circle
Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

'Leo Young Africans SC tumeingia ushirika na Shirika la Ndege la Air Tanzania ambapo tutaitangaza biashara ya Air Tanzania Ushirika huu unahusisha punguzo la bei kwenye safari zetu ambazo tutafanya na shirika hili. Hatuwezi kuona huduma ya Air Tanzania inafanyika bila sisi…

'Leo Young Africans SC tumeingia ushirika na Shirika la Ndege la Air Tanzania ambapo tutaitangaza biashara ya @AirTanzania Ushirika huu unahusisha punguzo la bei kwenye safari zetu ambazo tutafanya na shirika hili. Hatuwezi kuona huduma ya Air Tanzania inafanyika bila sisi…
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege la Air Tanzania ( @airtanzania_atcl ) yenye uwezo wa kubeba Abiria 181, inatarajiwa kuwasili Nchini Tanzania kesho Jumanne March 26 ikitokea Seattle Washington, Marekani.

Kwenye picha ( swipe) inaonekana Timu ya makabidhiano

Ndege mpya aina ya Boeing B 737-9 ya Shirika la Ndege la Air Tanzania ( @airtanzania_atcl ) yenye uwezo wa kubeba Abiria 181, inatarajiwa kuwasili Nchini Tanzania kesho Jumanne March 26 ikitokea Seattle Washington, Marekani.

Kwenye picha ( swipe) inaonekana Timu ya makabidhiano
account_circle