Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profileg
Eng. Hersi Said

@Caamil8

President @YoungAfricansSC | Director of Investment GSM Group.

ID:1259017792793325571

linkhttp://yangasc.africa calendar_today09-05-2020 07:10:21

208 Tweets

140,8K Followers

118 Following

Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Nikichota busara na baraka za mzee wetu wakati wa sherehe za EID EL FITRY nyumbani kwake, Uzunguni - Dodoma.

Mzee John Samuel MALECELA, atatimiza miaka 90 siku ya 20th April 2024 akiwa ameizidi klab ya Young Africans SC takriban siku 296 toka kuanzishwa kwake mnamo tarehe 11th…

Nikichota busara na baraka za mzee wetu wakati wa sherehe za EID EL FITRY nyumbani kwake, Uzunguni - Dodoma. Mzee John Samuel MALECELA, atatimiza miaka 90 siku ya 20th April 2024 akiwa ameizidi klab ya @YoungAfricansSC takriban siku 296 toka kuanzishwa kwake mnamo tarehe 11th…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Karibu Mh. Balozi James Bwana ( Jamhuri ya Afrika Kusini ) kwenye timu ya wananchi!

Shukran pia kwa mapokezi mazuri.

Karibu Mh. Balozi James Bwana ( Jamhuri ya Afrika Kusini ) kwenye timu ya wananchi! Shukran pia kwa mapokezi mazuri.
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

MAMBO MATANO YA YANGA NA HERO!

1. Makubaliano ya udhamini ya kuitangaza pikipiki ya HERO.
2. Thamani ya mkataba Tzs. 300,000,000
3. Mkataba wa miezi 18 wenye nafasi ya kuongeza.
4. Matawi yatapata kamishen kwa kila pikipiki itakayouzwa kupitia tawi husika.
5. Wateja 100 wa…

MAMBO MATANO YA YANGA NA HERO! 1. Makubaliano ya udhamini ya kuitangaza pikipiki ya HERO. 2. Thamani ya mkataba Tzs. 300,000,000 3. Mkataba wa miezi 18 wenye nafasi ya kuongeza. 4. Matawi yatapata kamishen kwa kila pikipiki itakayouzwa kupitia tawi husika. 5. Wateja 100 wa…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

From factories to havens.

Beijing's industrial heart transformed into welcoming hotels during the 2008 Olympics.

A journey from industry to hospitality. 🏭➡️🏨

account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Grateful to attend my second CAF Executive Committee in Abidjan – an incredible platform shaping African football.

Thrilled to be part of the AFCON Committee for 2023, working towards the best tournament on the continent.

Exciting moments with my brother Mattias Grafström

Grateful to attend my second CAF Executive Committee in Abidjan – an incredible platform shaping African football. Thrilled to be part of the AFCON Committee for 2023, working towards the best tournament on the continent. Exciting moments with my brother Mattias Grafström
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

GREAT SPHINIX OF GIZA.

The Sphinx is the oldest known monumental sculpture in Egypt and one of the most recognizable statues in the world.

Being made of limestone, this mythical creature is created with the head of a HUMAN and the body of a LION ( BRAIN and POWER ) WHAT A…

GREAT SPHINIX OF GIZA. The Sphinx is the oldest known monumental sculpture in Egypt and one of the most recognizable statues in the world. Being made of limestone, this mythical creature is created with the head of a HUMAN and the body of a LION ( BRAIN and POWER ) WHAT A…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

“BACCA DAY” chini ya udhamini wa Zanzibar Revenue Authority “ZRA” na Zanzibar Investment Promotion Authority “ZIPA”

Udhamini za Tzs 40m unaenda kuonyesha fursa zilizo katika mashirika haya mawili makubwa na kuyatangaza nje ya mipaka ya visiwa hivi vya marashi ya karafuu.…

“BACCA DAY” chini ya udhamini wa Zanzibar Revenue Authority “ZRA” na Zanzibar Investment Promotion Authority “ZIPA” Udhamini za Tzs 40m unaenda kuonyesha fursa zilizo katika mashirika haya mawili makubwa na kuyatangaza nje ya mipaka ya visiwa hivi vya marashi ya karafuu.…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

SAFARI YANGU KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO ( UHURU PEAK )

SIKU YA KWANZA.

Awali ya yote nianze kwa kumshukuru MOLA kwa safari yenye mafanikio na changamoto kedekede.

Safari yangu ilianza siku ya 14th October 2023 kutokea SPRINGLAND HOTEL iliyopo Pasua, Moshi mkoani…

SAFARI YANGU KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO ( UHURU PEAK ) SIKU YA KWANZA. Awali ya yote nianze kwa kumshukuru MOLA kwa safari yenye mafanikio na changamoto kedekede. Safari yangu ilianza siku ya 14th October 2023 kutokea SPRINGLAND HOTEL iliyopo Pasua, Moshi mkoani…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Mkataba baina ya Young Africans SC na NIC INSURANCE wa “Player of the month” wenye thamani ya 900m kwa kipindi cha miaka mitatu.

Haya ni mafanikio makubwa kwa pande zote mbili katika kutangaza bidhaa za kiBima na kujenga ushindani kwa wachezaji wetu.

NIC “sisi ni bima”

Mkataba baina ya @YoungAfricansSC na @nic_tanzania wa “Player of the month” wenye thamani ya 900m kwa kipindi cha miaka mitatu. Haya ni mafanikio makubwa kwa pande zote mbili katika kutangaza bidhaa za kiBima na kujenga ushindani kwa wachezaji wetu. NIC “sisi ni bima”
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

KIGALI GENOCIDE MEMORIAL.

This is a place of remembrance and learning dedicated to the victims of the Genocide against the Tutsi in Rwanda.

It offers a powerful experience for visitors, promoting reconciliation and building peace through education.

My visit with…

KIGALI GENOCIDE MEMORIAL. This is a place of remembrance and learning dedicated to the victims of the Genocide against the Tutsi in Rwanda. It offers a powerful experience for visitors, promoting reconciliation and building peace through education. My visit with…
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Honored to handover the Young Africans SC kit to Hon. Minister for Sports - RWANDA.

The kit is a special gift to Hon. Paul Kagame The President of RWANDA.

Thank you RWANDA, mpaka wakati mwingine, INSHALLAH!

Honored to handover the @YoungAfricansSC kit to Hon. Minister for Sports - RWANDA. The kit is a special gift to Hon. @PaulKagame The President of RWANDA. Thank you RWANDA, mpaka wakati mwingine, INSHALLAH!
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Mzee JABIRI KATUNDU.

Hazina ya Historia ya klab yetu ya Young Africans SC huku akiwahi kushikilia nyadhifa za juu klabuni.

Katibu mkuu 1962-66
Mwenyekiti 1992-96
Mjumbe wa bodi ya wadhamini mpaka 2021

91 years old ( masha allah ) na madini mengi 🙌🏽

Mzee JABIRI KATUNDU. Hazina ya Historia ya klab yetu ya @YoungAfricansSC huku akiwahi kushikilia nyadhifa za juu klabuni. Katibu mkuu 1962-66 Mwenyekiti 1992-96 Mjumbe wa bodi ya wadhamini mpaka 2021 91 years old ( masha allah ) na madini mengi 🙌🏽
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

The best and most beautiful things in the world cannot be seen or even heard, but must be felt with the heart

❤️❤️❤️

The best and most beautiful things in the world cannot be seen or even heard, but must be felt with the heart ❤️❤️❤️
account_circle
Eng. Hersi Said(@Caamil8) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana Kaizer Chiefs kwa kukubali mualiko wetu.

Young Africans SC tunasema AHSANTENI SANA!

Huu ni mwanzo wa ushirikiano wetu katika maendeleo ya soka kwa ujumla wake.

Amakhosi Amahle.
Abafana bokuthula no xolo.
Abafana bo Thando

Kaizer Motaung Jr

account_circle