zealous💪 (@suleimankakweb1) 's Twitter Profile
zealous💪

@suleimankakweb1

ID: 836655398820196353

calendar_today28-02-2017 19:12:46

5,5K Tweet

932 Followers

1,1K Following

zealous💪 (@suleimankakweb1) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa unaitwa Baraka ukaoa unaitwa Barakoa, ukiwa na njaa ghafra ukakutana na mtu akakununuli kuku we utakua BAHATI BUKUKU, Na ukiwa na UKIMWI af ukaugua KORONA, We utaitwa UKIMWONA.Niongezee nyingne mdau😂😂😂.

Genious✍️ (@chibelube) 's Twitter Profile Photo

Hakikisha una retweet Hii twitty Ifike kwa wengine, then comment Handle yako, atakaye like tu mfollow, Hii ndio njia rahisi ya kuinuana sisi kama wapwa, Haya tuinuane drop your handle waku follow.🙏

Dokta suley (@dokta_suley) 's Twitter Profile Photo

Naombeni Rts zenu tafadhari 🙏🏾 niweze kujishindia iyo hii picha jmn😢 Na nyie ndio mmezishika hizo RT Retweet Plz 👇👇👇

HonSiyadAbdul008🇰🇪 (@honsiyadabdul) 's Twitter Profile Photo

Sababu ambazo zimefanya NMB Bank Plc Kushinda Tuzo za Euromoney mara 8 mfululizo . 1. Hutoaji wa huduma Bora ndani ya nchi na kila Kara 2. mifumo Bora wa utoaji huduma na wa kisasa unaovutia wateja. Naomba retweet #mara8mfululizo

MARLEY (@funjojr) 's Twitter Profile Photo

Oyaa tulisema ikija nyingine ni yangu masta, si mnakumbuka?😂 Chapa rts hapo fasi tushuke nayo #infinixnote8 #kasikazini

Sonnino⚡ (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Hellow twitter fam sijawahi kushiriki challenge yoyote naomba nishiriki hii ndugu Retweet zenu muhimu nipate simu hii nimgiftishe Mama mzazi kipindi hiki akiwa mzima kabisa aachane na simu yake mbovu. Naomba Retweet zenu #Nigiftisheni

zealous💪 (@suleimankakweb1) 's Twitter Profile Photo

We sio Mzaramo wala Mswahili, unapata wapi Nguvu ya Kutuita wa Mkoani et kwa kuwa unaishi Dar ?, Kenge wewe unajisahaurisha origin yako.😂