NMB Bank Plc(@NMBTanzania) 's Twitter Profileg
NMB Bank Plc

@NMBTanzania

We are committed to a customer experience that brings us closer to you with every engagement #NMBClosetoyou https://t.co/6YnMR1SQAY

ID:2176257342

linkhttps://www.nmbbank.co.tz calendar_today05-11-2013 15:08:16

23,3K Tweets

43,8K Followers

583 Following

Follow People
NMB Bank Plc(@NMBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kuna lile tambara lililokufanya ulirudie na ukiulizwa tu 'movie gani ya kuangalia' basi lazima uitaje!

Tuandikie jina lake kwenye comments 👇🏽

Usisahau unaweza kulipia Netflix kupitia NMB mastercard na uendelee kuenjoy movies long weekend hii!

account_circle
NMB Bank Plc(@NMBTanzania) 's Twitter Profile Photo

Msingi wa Muungano wetu ni kutuunganisha na kushirikiana katika kuijenga Tanzania bora kwa kizazi cha sasa na baadae. Kwa miaka 60, tumekuwa familia moja na bado tunasonga mbele.

Heri ya Siku ya Muungano.

account_circle