Michael Albert (@stupidgenius98) 's Twitter Profile
Michael Albert

@stupidgenius98

Degree of acturial science 🌎, mathematics @simba ,@Manchester United

ID: 1442390708808138752

calendar_today27-09-2021 07:28:52

2,2K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Habari za Asubuhi JANJA wa Timber… Kulikua na haja gani ya kunitukana na kuniMention kwenye mambo yenu?? Mbona nlisha KuBLOCK kila mtu afanye mambo yake? Jana nlikua Safarini nlichoka saana,sikupata muda wa kukujibu on time! Aahh nmesahau nlikua nasafiri na

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

This interview imetusaidia sana mno Nyalandu amekuwa cooked kwenye international media inayofuatiliwa sana Uzuri kwetu na ubaya kwao lazima watembee na hii narrative ya Nyalandu ambayo ni mbovu na imeoza

Fanuel Arsene (@arsenefanuel) 's Twitter Profile Photo

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏

Fanuel Arsene (@arsenefanuel) 's Twitter Profile Photo

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏

N I N J A (@ninja_damour) 's Twitter Profile Photo

1/2 Habari Familia, Mungu ni Mwema baada ya Kuchukuliwa na watu nisiowafahamu Jmosi Asubuhi, niliachiwa kwa dhamana juzi jioni. Shukrani sana kwenu kwa kupiga kelele, kuniombea hata na kupambania kwa kila namna. Hata wale tuliotofautiana kwenye football, Music na itikeli zingine.

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Watekaji, wahurumie wazazi wetu. Namshukuru Mungu hadi sasa nimebarikiwa kuwa na watoto watatu. ELON, LIAM na FREEMAN. 24/04/2026 nikapoteza mtoto mmoja wa kiume, mama yake akiwa anajifungua. Nilipata uchungu siyo wa kawaida. Nikakumbuka 2019 mama yangu alivyopoteza mtoto

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wazazi wetu hupitishwa kwenye nyakati ngumu sana kwenye haya mambo ya UTEKAJI. Huyu mama yake JAMES angalau kapata mwili wa mwanae anazika ila ndio hivyo anazika mwili usio na KICHWA (Kiwiliwili). Wapo maelfu ya watanzania wameishia kuzika Nguo na viatu kwasababu walikosa miili

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Nduli Idd Amin Mama kayatimba, sasa hivi anakula za uso kila kona. Ifike mahali Nduli Idd Amin Mama awe anaona aibu kuonyesha ukilaza wake hadharan maana anajidhalilisha sana.🚮