ERWIN SIZINGA (@sizinga) 's Twitter Profile
ERWIN SIZINGA

@sizinga

ID: 335453543

linkhttp://erwinsizinga.blogspot.com calendar_today14-07-2011 18:16:56

289 Tweet

160 Followers

237 Following

Ruwasa Tanzania (@ruwasatz) 's Twitter Profile Photo

Shehena za mabomba zaendelea kupokelewa maeneo mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa Mradi wa Utekelezaji wa Program Endelevu ya Usambazaji Maji Vijijini. Zaidi ya Bil. 800 zitatumika kuwapa maji Halmashauri 86 nchini.

Bodi ya RUWASA imeanza ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Vijijini Mkoani Tabora. Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. Idrissa Mshoro amezisihi Sekretariet za Mikoa na Halmashauri zote ambazo Bado hazijakabidhi mali za RUWASA kufanya hivo Kwani ni takwa la kisheria.

Bodi ya RUWASA imeendelea na ziara Mkoa wa Shinyanga na Geita. Wamekagua miradi ya maji vijijini na kutoa maelekezo. Mwenyekiti wa Bodi hiyo Prof. Idrissa Mshoro amewata wataalam wa RUWASA kuwa makini haswa wanapotumia utaratibu wa force account kwa kuzingatia ubora wa kazi.

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Leo inafanyika semina ambayo inawakutanisha wafanyakazi wote wa Simba (wachezaji, benchi la ufundi na menejimenti) kujadili mambo mbalimbali kuhusu maisha ndani ya Simba. #NguvuMoja

ERWIN SIZINGA (@sizinga) 's Twitter Profile Photo

Kazi zikiendelea kushamiri, huduma ya maji inaendelea kupatikana kila kona @ Lushoto, Tanga, Tanzania instagram.com/p/CRB1c3-Dkyai…