Mgiriki
@ansdaniel12
@Manutd
📸
#PanoramaAuthentik
ID: 1492754953814880257
13-02-2022 06:58:40
8,8K Tweet
4,4K Followers
3,3K Following
• Tarehe 27.4.2022 Dizasta Vina (Black Maradona) aliachia yet another lyrical masterpiece inakwenda kwa jina la SHAHIDI. Mdundo umeundwa na Ringle Beatz. Mashairi yameandikwa na Dizasta Vina. • Ringle Beatz ni mmoja wa watayarishaji bora katika uandaaji wa midundo ya Hip Hop.
Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji. Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama Chadema Tanzania aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa. Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli
🎶 Maua hunyauka, story huisha, kumbukumbu husahulika, yote hii inamaanisha, hii dunia sote tunapita...🎶 #MwanzaMwanza #KitaaREJEX OUT NOW..!!!