Miss Sintah (@sintah_miss) 's Twitter Profile
Miss Sintah

@sintah_miss

JESUS makes me more Special โฃ๏ธ

ID: 1265978450168381441

calendar_today28-05-2020 12:09:38

835 Tweet

2,2K Followers

1,1K Following

#ChangeTanzania (@changetanzania) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi yeyote asiyetetea haki ya wananchi kuchagua Viongozi wao na kutetea haki ya Viongozi kuchaguliwa kuliko kupita bila kupingwa , atakuwa amekosa sifa za kutetea AMANI. #HekimaZaBagonza #ChangeTanzania

Kiongozi yeyote asiyetetea haki ya wananchi kuchagua Viongozi wao na kutetea haki ya Viongozi kuchaguliwa kuliko kupita bila kupingwa , atakuwa amekosa sifa za kutetea AMANI. #HekimaZaBagonza   #ChangeTanzania
Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine tunapunguza mazungumzo na watu sio kwamba tumeanza kuwachukia, Ni kwa sababu wao wanatuona Sisi ni watu wa akiba kwao

Benson Rayson (@bensonrusizi_) 's Twitter Profile Photo

Tajiri akiumwa masikini atalipa hela kwenda kumuona/kumjulia hali,Masikini akiumwa atasubiri apone na kwenda kumwambia Tajiri kuwa alikua anaumwa.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Napongeza kila mmoja wetu - tuliobaki kudai Haki, Demokrasia na #KatibaMpya pamoja na changamoto, shinikizo na ugumu wa maisha! Tujipongeze, tufarijiane kisha tutumie tena na tena kila siku tuliyopewa na Mungu kupigania malengo haya! Kukata tamaa mwiko ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ Much โค๏ธ and power to ua!

Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Kwenu viongozi wa CCM na SERIKALI yenu, kama kuna MANENO yoyote mazuri juu YANGU na muyaongee SASA... Sio msubiri mpaka mtu AFE ndio mlete UNAFIKI kama mnavyofanya sasa kwa MAALIM SEIF... #FreeMbowe

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Hoja nzito za mawakili wa upande wa utetezi, zahairisha kesi hadi kesho saa 3:00 asubuhi, baada ya Jaji kuomba apatiwe muda. #MboweSioGaidi #Retweet za heshima kwa jopo hili

Hoja nzito za mawakili wa upande wa  utetezi, zahairisha kesi  hadi kesho saa 3:00 asubuhi,  baada ya Jaji kuomba apatiwe muda.

#MboweSioGaidi

#Retweet za heshima kwa jopo hili
France J. Mputa (@francemputa1) 's Twitter Profile Photo

โ€œJitihada zozote za Kuua upinzani wa nje yako ni mbolea ya kustawisha upinzani ndani yako ambao ni hatari zaidi, wakati uimara wa upinzani wa nje yako hustawisha Umoja ndani yako.โ€ ๐Ÿค”๐Ÿค”

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Unakuwa mpumbavu kabisa kwa sababu ya kulinda tumbo ? Hivi mlo wenu mboga ni ALMASI na ugali ni DHAHABU ? Kama ni vyakula vya kawaida mbona mnaweza kivimudu bila kuuza UTU?Nitawalea watoto wangu kuwa wapiganaji.Kuna tabia imezuka ya kuabudu watu kwa sababu ya mkate kuliko Mungu.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

It is a tradition that we start with a greeting. UMUOFIA KWENU....! Yes, ule muda ambao nilikuwa nikiusubiri kuliko mlinzi asubirivyo asubuhi umewadia. Yes, nilisubiri Kesi maarufu kama โ€œkesi ya Mboweโ€ iishe nitoe yangu ya moyoni.

It is a tradition that we start with a greeting.

UMUOFIA KWENU....!

Yes, ule muda ambao nilikuwa nikiusubiri kuliko mlinzi asubirivyo asubuhi umewadia.

Yes, nilisubiri Kesi maarufu kama โ€œkesi ya Mboweโ€ iishe nitoe yangu ya moyoni.
Mark JR (@makjunior0) 's Twitter Profile Photo

Kuna marafiki kwenye maisha Halafu kuna marafiki wa maisha. Inaitaji hekima na busara kubwa sana kuwatofautisha hao watu.

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

BREAKING: Mwanasheria Peter Madeleka ametekwa na watu wasiojulikana Serena hotel muda mfupi uliopita. Watu hao wametokomea kusikojulikana na wakili Peter Madeleka. #FreeMadelekaNOW #TanzaniaLeaks

BREAKING: Mwanasheria <a href="/PMadeleka/">Peter Madeleka</a> ametekwa na watu wasiojulikana Serena hotel muda mfupi uliopita. 

Watu hao wametokomea kusikojulikana na wakili Peter Madeleka. #FreeMadelekaNOW #TanzaniaLeaks
Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu alilalamika kuhusu usalama wake kwamba anafuatwa na gari, Polisi ikaka kimya akapigwa risasi, Rais Samia akatoka na kutamba kwamba polisi awakosei namna ile Peter Madeleka amelalamika anataka kuuwawa na dola, leo ametekwa na kupotea #FreeMadeleka

Tundu Lissu alilalamika kuhusu usalama wake kwamba anafuatwa na gari, Polisi ikaka kimya akapigwa risasi, Rais Samia akatoka na kutamba kwamba polisi awakosei namna ile 

<a href="/pmadeleka/">Peter Madeleka</a> amelalamika anataka kuuwawa na dola, leo ametekwa na kupotea #FreeMadeleka
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Uhuru wa Peter Madeleka ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa mtu alietishiwa kuuwawa, Kisha kukamatwa na watu wasio na Sare za Polisi ni hatari zaidi kuzani tukio hili ni la kawaida.

Uhuru wa Peter Madeleka ni muhimu kuliko kitu chochote kwa sasa mtu alietishiwa kuuwawa,  Kisha  kukamatwa na watu wasio na Sare za Polisi ni hatari zaidi kuzani tukio hili ni la kawaida.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Nasema kijana ASIBUGUDHIWE! Asante Ideas Adviser ๐Ÿ’ก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ for speaking Truth to Power! Ila nimecheka sana ๐Ÿ˜‚ eti aingie mwenyewe asome comments! Tatizo anaambiwa eti ni Chuki tu! Mara oh wanakudharau maana we mwanamke! Kumbe wanampotosha! ๐Ÿ‘Š๐Ÿฝ kula shavu! FOLLOW ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Ideas Adviser ๐Ÿ’ก๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ