Sembo (@semboja23) 's Twitter Profile
Sembo

@semboja23

ID: 1883932242688499713

calendar_today27-01-2025 17:37:27

24 Tweet

5 Followers

35 Following

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Umezoea nini? Kipi huwa unakifanya kwa kurudia rudia wakati mwingine bila kufikiria? Umezoea kuamka saa ngapi? Ukiamka umezoea kufanya nini? Ukiwa mtandaoni umezoea kufanya nini? Ukienda kazini umezoea kufanya nini? Ukitoka kazini umezoea kufanya nini? Nani umezoea kumpigia

Mjege Kinyota, PhD πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Walinzi kwenye mageti wanatupiga sana mkwara watembea kwa Miguu. Yaani kila mtu anatumia nafasi yake kumyanyasa mnyonge wake. Mlinzi leo kanipiga mkwara mzito sana πŸ€”πŸ€”

THE MESHA (@the_mesha24) 's Twitter Profile Photo

Unapokwepa vitu vigumu unakuwa DHAIFU Unapokabiliana na vikwazo na vizuizi unakua na RESILIENCE. Changamoto na ugumu sio vitu vya kuvikimbia kabialiana navyo Mambo mazuri na makubwa yanajengwa kupitia magumu Ukikwepa ugumu, unakwepa ukuaji. Njia ngumu ndiyo njia sahihi.

M a n o t i (@madeinmusoma) 's Twitter Profile Photo

Majira ya Mungu yakifika, hata kilichoonekana hakiwezi hutumika kwa makusudi yake. Sisi ni watu wa imani, tunaoamini kuwa Mungu hubadilisha yasiyowezekana kuwa ushuhuda wa baraka zake. πŸ™

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Kijana unayefanya kazi kwa mazoea, usiyeona haja ya kujifunza mambo mapya, unayeamini unajua kuliko wanaokutangulia, huna nidhamu ya kazi, unachelewa kazini, unaondoka muda unaotaka wewe, huheshimu makataa (deadlines); …kumbuka kuna wakati utafika wenzako wa umri wako na elimu

Edwin F.M (@edwinmjeru) 's Twitter Profile Photo

Kuna kinaitwa, "Personal au Professional Leverage Story (PLS)". Hakikisha unaandika na kuandika kuandika. In short, ni kitu unachotakiwa kusema ndani ya sekunde 30, pale utakapoulizwa; 1. What do you do for a living? 2. Au, What do you do? Ji-Position. Kaa kitaalamu.

Mwanza Boy (@iam_sostenes) 's Twitter Profile Photo

Wagiriki walitembelea Misri (kemet) kama wanafunzi kujifunza kutoka kwa Waafrika Plato alisoma huko Misri kwa miaka 13. Pythagoras alisoma falsafa, jiometri, na dawa huko Misri kwa miaka 22. Thales, mwanafalsafa wa kwanza wa Uigiriki kusoma huko Misri kwa miaka 7. Hippocrates,

Wagiriki walitembelea Misri (kemet) kama wanafunzi kujifunza kutoka kwa Waafrika

Plato alisoma huko Misri kwa miaka 13. Pythagoras alisoma falsafa, jiometri, na dawa huko Misri kwa miaka 22. 

Thales, mwanafalsafa wa kwanza wa Uigiriki kusoma huko Misri kwa miaka 7. Hippocrates,
Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko (@mbonimpaye_n) 's Twitter Profile Photo

Oya washkaji wakati wako ukifika, hata vikapu vitabeba maji kwa ajili yako usiache kuamini, usiache kupambana, muda unakuja kila kitu kitabaki kuwa historiaβ€’

Binamu (@binamu01) 's Twitter Profile Photo

Bro, kuna kipindi kinakuja kwenye maisha ya mwanaume ambacho kinaonekana kimya… lakini ndani yake kuna vita ambavyo watu hawavisikii. Miaka ya kati ya 25s na 35s sio mchezo. Sio kipindi cha kutabasamu ovyo. Ni kipindi ambacho dunia inaanza kukupima kama mwanaume, sio kama

Bro, kuna kipindi kinakuja kwenye maisha ya mwanaume ambacho kinaonekana kimya…
lakini ndani yake kuna vita ambavyo watu hawavisikii.

Miaka ya kati ya 25s na 35s sio mchezo.
Sio kipindi cha kutabasamu ovyo.
Ni kipindi ambacho dunia inaanza kukupima kama mwanaume, sio kama
pennywise (@kanyenized17) 's Twitter Profile Photo

Washkaji ukitaka kuwin katika haya maisha lazima uforce things. Mtu asikudanganye kwamba kuna siku mambo yataflow. Ukiforce issues nature aligns to your will na hapo sas ndio mambo hufanya kazi. The only situation hufai kuforce issues ni kwenye mapenzi..πŸ‘ŠπŸ½

π‘πžπŸπ¨π«π¦ (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Uamuzi bora niliowahi kufanya ni kukaa kimya. Sina la kuthibitisha. Sijirahisishi kwa mtu ili aweze kuona mimi ni mtu mzuri. Sipigani na mtu ili aone thamani yangu. Kila ninachofanya ni kwa ajili yangu. Simtegemei mtu ili nisije kujutia. Nasonga mbele, huru na kwa amani.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Hatia ni nguzo muhimu ya malezi yanayokuza mtu mwenye utu na dhamiri hai, muhimu yasiwepo mazingira ya mtoto kufedheheka. Hatia, kwa kawaida, haifanyi kazi penye upweke, penye tishio la usalama, na uhaba wa uhusiano wa mtoto na mzazi/mlezi.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 152 Anaendelea Mhe. Lissu. Tuna haki yakutembelewa, waheshimiwa Majaji kuna masharti kwenye hiyo kanuni ikiwemo sharti la kutembelewa na mfungwa mwenzako, sharti lingine ni askari magereza wakuone na kukusikiliza ila kwa Mawakili kanuni haisemi

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 153 Anaendelea Mhe. Lissu Hili ni kosa la kipekeee, angalieni ibara ya 28(4) ya Katiba ya JMT ndo kosa pekee la Jinai lililotajwa kwenye Katiba kwasababu sio kosa la kawaida. Kama hiyo ndio hoja kosa hili pia la Uhaini linapaswa kuwa na

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 155 Naomba nimalizie kwa upande wetu wa Serikali na tumuachie mwenzetu aweze kujibu na kuwasilisha Rejoinder yake. Jaji anawauliza mmemaliza Upande wa Mashitaka. Wanajibu wamemaliza. Mhe. Lissu anajiandaa kufanya rejoinder hapa. Anasimama

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 156 Anaendelea Mhe. Lissu Kifungu cha 282 cha CPA amekisoma Katuga hapa kwamba Mahakama inaweza ku regulate taratibu zake wakati wa kutekeleza wajibu wake wa jinai. Msifungwe sana na hizi kanuni maana mnaweza kuregulate procedure zenu. Sasa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 156 Anaendelea Mhe. Lissu Kifungu cha 282 cha CPA amekisoma Katuga hapa kwamba Mahakama inaweza ku regulate taratibu zake wakati wa kutekeleza wajibu wake wa jinai. Msifungwe sana na hizi kanuni maana mnaweza kuregulate procedure zenu. Sasa