Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile
Seedco Tanzania

@seedcotz

SeedCo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa uzalishaji na uuzaji wa mbegu za mahindi na mbogamboga. Mavuno bora huanza na mbegu bora.

ID: 1513424692719276034

linkhttp://www.seedcogroup.com/tz calendar_today11-04-2022 07:53:16

73 Tweet

672 Followers

15 Following

Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile Photo

MKOMBOZI F1 Mbegu bora za mboga mboga kutoka Seed Co -Inaustahimilivu wa magonjwa ya mnyauko na ukame -Uzito wa tunda ni wastani wa gram 150 -Hukomaa ndani ya siku 75 mpaka 80 baada ya kupandikiza - Mavuno kwa ekari ni tani 48 mpaka 55 - Kiasi cha mbegu kwa ekari ni gram 25

MKOMBOZI F1 
Mbegu bora za mboga mboga kutoka Seed Co
-Inaustahimilivu wa magonjwa ya mnyauko na ukame
-Uzito wa tunda ni wastani wa gram 150
-Hukomaa ndani ya siku 75 mpaka 80 baada ya kupandikiza
- Mavuno kwa ekari ni tani 48 mpaka 55
- Kiasi cha mbegu kwa ekari ni gram 25
Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile Photo

MBEGU YA MUDA MFUPI - Inakomaa kati ya siku 60-75. - Mavuno yake ni wastani wa gunia 18-24 kwa ekari. - Inavumilia magonjwa ya virusi vya milia na madoa ya majani. - Ni chaguo sahihi kwa maeneo makame kama pwani na kanda ya kati. - Ina punje ngumu.

MBEGU YA MUDA MFUPI
- Inakomaa kati ya siku 60-75.
- Mavuno yake ni wastani wa gunia 18-24 kwa ekari.
- Inavumilia magonjwa ya virusi vya milia na madoa ya majani.
- Ni chaguo sahihi kwa maeneo makame kama pwani na kanda ya kati.
- Ina punje ngumu.
Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile Photo

Mulching (Kutandaza Nyasi) - Husaidia kukinga mabadiliko ya joto la udongo. - Hutunza kiwango kizuri cha unyevu kwenye udongo. - Inazuia ukuaji wa magugu na mimea isiyohitajika. #mbegubora #kilimonibiashara #seedcotanzania #seedcotz #homeofbumperharvesttz #mavunobora

Mulching (Kutandaza Nyasi)

- Husaidia kukinga mabadiliko ya joto la udongo.
- Hutunza kiwango kizuri cha unyevu kwenye udongo.
- Inazuia ukuaji wa magugu na mimea isiyohitajika.

#mbegubora #kilimonibiashara #seedcotanzania #seedcotz  #homeofbumperharvesttz  #mavunobora
Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile Photo

Makovu Meusi kwenye kitako cha Tunda (Blossom Rot) Ugonjwa huu ni hatari na dalili zake hufanana na zile za mnyauko unaosababishwa na fangasi. Unashauriwa kutumia mbolea zenye madini ya kalsiamu kupunguza tatizo hili mara tu mmea unapoanza kutoa maua.

Makovu Meusi kwenye kitako cha Tunda (Blossom Rot)
Ugonjwa huu ni hatari na dalili zake hufanana na zile za mnyauko unaosababishwa na fangasi.

Unashauriwa kutumia mbolea  zenye  madini ya  kalsiamu kupunguza tatizo hili mara tu mmea unapoanza kutoa maua.
Seedco Tanzania (@seedcotz) 's Twitter Profile Photo

Tunapenda kuwatakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya miaka 59 ya Muuungano. Tuendelee Kudumisha Amani na Upendo.

Tunapenda kuwatakia watanzania wote heri na maadhimisho mema ya miaka 59 ya Muuungano.

Tuendelee Kudumisha Amani na Upendo.