samwel lucian (@samwellucian2) 's Twitter Profile
samwel lucian

@samwellucian2

ID: 1271830468871233536

calendar_today13-06-2020 15:43:26

41 Tweet

103 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mnajua kwa nini wadhalimu hatimaye huua wale wanaokataa udhalimu wao? Ks mtu anayejitambua hawawezi kum- control 👉🏽watakutushia kwa kukuteka, kukuonya, kukunyanyasa katika shughuli zako 👉🏽 Watajaribu kukushawishi au kukununua 👉🏽Wakishindwa watakufunga au kukuua #TutaelewanaTu

EastAfricaRadio (@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

#HABARI Mkuu wa Idara ya Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @makene_tumaini amesema kuwa hali ya M/Kiti wa chama hicho Freeman Mbowe inaendelea vizuri na anaendelea kupata matibabu akiwa nyumbani, na kueleza hofu yao juu ya namna ya uchunguzi wa tukio la Mbowe kushambuliwa unavyoendelea.

#HABARI Mkuu wa Idara ya Habari wa <a href="/ChademaTz/">Chama cha Demokrasia na Maendeleo</a> @makene_tumaini amesema kuwa hali ya M/Kiti wa chama hicho <a href="/freemanmbowetz/">Freeman Mbowe</a> inaendelea vizuri na anaendelea kupata matibabu akiwa nyumbani, na kueleza hofu yao juu ya namna ya uchunguzi wa tukio la Mbowe kushambuliwa unavyoendelea.
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

Ujenzi wa uwanja mpira wa miguu wa kisasa jijini Dodoma bado maandalizi ya awali yanaendelea na utajengwa kwa fedha za serikali na sio kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco kama alivyotajwa awali.

Ujenzi wa uwanja mpira wa miguu wa kisasa jijini Dodoma bado maandalizi ya awali yanaendelea na utajengwa kwa fedha za serikali na sio kwa ufadhili wa mfalme wa Morocco kama alivyotajwa awali.
Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

“Uwanja mkubwa wa Dodoma ambao nafikiri utakuwa mkubwa kuliko uwanja wa Taifa hatua zake zipo vizuri na ukipita maeneo ya Nanenane utaona tayari kuna mabango kwa sababu kuna watu walianza kutaka kuvamia”-Dkt. Hassan Abbas, Msemaji Mkuu wa Serikali.

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Education stadium una mfumo wa kutengeneza hewa nzuri kuanzia nje ya uwanja na kupeleka hewa ndani ya uwanja kupitia mabomba yenye mfumo wa air condition

Education stadium una mfumo wa kutengeneza hewa nzuri kuanzia nje ya uwanja na kupeleka hewa ndani ya uwanja kupitia mabomba yenye mfumo wa air condition
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

“Nikiamka vibaya nitakukata jina” sio tutakukata jina. hahahaha eti hiki ni Chama kikubwa.... hivi Mwenyekiti wa ANC anaweza kumwambia mwanachama kauli kama hiyo ili amtishie asigombee? Hawa wti walikua wanasema Chadema ni chama cha mtu mmoja. Ccm mmegauka wasaka tonge tu.

Shaffih  Dauda (@shaffihdauda1) 's Twitter Profile Photo

“Tunavyozihitaji pointi 3 za kesho vs Namungo FC haijawahi kutokea, tunazihitaji sana kuliko kawaida kwa sababu zitatupa mwelekeo wa kukaa juu ya Azam”-Antonio Nugaz, Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga. Azam Mechi 30, Pointi 58 Yanga Mechi 30, Pointi 56

“Tunavyozihitaji pointi 3 za kesho vs Namungo FC haijawahi kutokea, tunazihitaji sana kuliko kawaida kwa sababu zitatupa mwelekeo wa kukaa juu ya Azam”-Antonio Nugaz, Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa Yanga.

Azam Mechi 30, Pointi 58
Yanga Mechi 30, Pointi 56
Mzawa Blog Tz (@mzawablog) 's Twitter Profile Photo

Wake up, start living your dreams, take action, Stay focused, sharp and diligent. Never give up on your dreams and your dreams will never give up on you. Good morning ✍️

samwel lucian (@samwellucian2) 's Twitter Profile Photo

Wanawake wengi wana msongo wa mawazo wa kati wa tendo la ndoa! Wanawaza matatizo malez na shida zao! Ndio maana wanachelewa kufika kilelen! Mwanaume anaeweza kufanya kuanzia dk 5 mpaka 10dk! Yupo poa sana tu!

samwel lucian (@samwellucian2) 's Twitter Profile Photo

Eeeh Mungu Usinipe Utajiri Mkubwa Nikakufuru Wala Usinipe Umaskini Nikakutenda Dhambi, Nipe Kulingana na Kipimo changu!! Nami Nitashukuru