Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profileg
Samatime Car Dealers Co Ltd

@samatimemagari

A Registered Company Dealing with KU-AGIZA magari Japan,UK,Singapore,nk | KU-KODISHA gari za Harusi, Town Trips etc| KU-UZA | KUNUNUA MAGARI Used Hapa Nchini

ID:1063333720378273792

linkhttps://linktr.ee/samatime calendar_today16-11-2018 07:31:29

33,6K Tweets

37,5K Followers

329 Following

Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Ijue Toyota Corrola Rumion aka Lunch Box...
.
Miaka ya nyuma kidogo watu wengi wametokea na wanaendelea kuziagiza/kuzinunua hizi gari kwa wingi...
.
Hivyo basi tumeona tuje na ABCD za hii gari kwa manufaa ya wanaotarajia kuzi agiza na wamiliki walionazo kwa sasa...
.
UZI
.

Ijue Toyota Corrola Rumion aka Lunch Box... . Miaka ya nyuma kidogo watu wengi wametokea na wanaendelea kuziagiza/kuzinunua hizi gari kwa wingi... . Hivyo basi tumeona tuje na ABCD za hii gari kwa manufaa ya wanaotarajia kuzi agiza na wamiliki walionazo kwa sasa... . UZI .
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Toyota Kluger aka Mkali Wao..
.
Kluger [The smartest & Brave one] inajulikana pia kama toyota Highlander..
.
Ni moja ya mid-size crossover SUV kutoka Toyota ikitumia platform sawa na Camry na cousin yake Lexux RX/Toyota Harrier..
.
Kluger mpaka sasa ina generation nne..

Toyota Kluger aka Mkali Wao.. . Kluger [The smartest & Brave one] inajulikana pia kama toyota Highlander.. . Ni moja ya mid-size crossover SUV kutoka Toyota ikitumia platform sawa na Camry na cousin yake Lexux RX/Toyota Harrier.. . Kluger mpaka sasa ina generation nne..
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

MAMBO MUHIMU ya Kuzingatia Unapotaka Ku-OVERTAKE gari HIGHWAYS...
.
Kama Umekua ukisafiri (Dereva/Abiria) safari ndefu basi hicho kichwa cha huu UZI hapo juu kinakupa picha flani Kichwani...
.
Basi twende pamoja na haya MAMBO yaliyookoa Maisha ya Fredy na familia yake...
👇

MAMBO MUHIMU ya Kuzingatia Unapotaka Ku-OVERTAKE gari HIGHWAYS... . Kama Umekua ukisafiri (Dereva/Abiria) safari ndefu basi hicho kichwa cha huu UZI hapo juu kinakupa picha flani Kichwani... . Basi twende pamoja na haya MAMBO yaliyookoa Maisha ya Fredy na familia yake... 👇
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

IJUE- Toyota Harrier aka Tako la NYANI..
.
Watu wengi wanauliza kwanini iliitwa Tako la nyani, Twende pamoja nitakujuza..
.
Pia Wadau wamekua wakitaka kujua ABCD za hii gari hivyo basi tuomeona tuje na UZI wenye Madini kuhusu gari...
.
Kaa vizuri ule vitu Adimu Bure...
.
UZI 👇

IJUE- Toyota Harrier aka Tako la NYANI.. . Watu wengi wanauliza kwanini iliitwa Tako la nyani, Twende pamoja nitakujuza.. . Pia Wadau wamekua wakitaka kujua ABCD za hii gari hivyo basi tuomeona tuje na UZI wenye Madini kuhusu gari... . Kaa vizuri ule vitu Adimu Bure... . UZI 👇
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

IJUE - Toyota Alphard...
.
Alphard aka boflo ni gari iliyoanza kutengenezwa mwaka 2002 kama gari ndogo ya abiria [MPV]...
.
Mpaka sasa ina Generation 3 Generation ya 1 AH10 ikianza 2002-2007, Generation ya 2 AH20 2008-2014 na Generation ya tatu AH30 2015- Todate...
.
UZI 👇

IJUE - Toyota Alphard... . Alphard aka boflo ni gari iliyoanza kutengenezwa mwaka 2002 kama gari ndogo ya abiria [MPV]... . Mpaka sasa ina Generation 3 Generation ya 1 AH10 ikianza 2002-2007, Generation ya 2 AH20 2008-2014 na Generation ya tatu AH30 2015- Todate... . UZI 👇
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

🚨NAWAKUMBUSHA TENA Siri moja ya ku overtake salama ni kuwa na subira, overtake nzuri haitaki haraka Be patient...
.
Kosa linaloua watu wengi sana ni ku overtake kwa kukisia kwamba hakutakuwa na gari inayokuja upande wa pili zile sehemu ambazo haoni vizuri mbele...

account_circle
PaYRoLL🪙(@CoolestDudeOnX) 's Twitter Profile Photo

Uzi mzuri huu. Mimi acha watu wanione muoga tu ila huwa na-overtake nikishajiridhisha kwamba mbele, upande ninao-overtake ni kweupe kabisa😅

account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

ZIJUE Aina za buttons zilizopo kwenye gari yako na Matumizi Yake.
.
Maswali yamekua mengi kila mtu akiuliza kazi za button mbali mbali kwenye gari yake.
.
Hivyo basi sababu magari ni tofauti na button ni nyingi.
.
Tutatengeneza E Book ya Kuhusu hii kitu kutokana na Maswali Yenu.

ZIJUE Aina za buttons zilizopo kwenye gari yako na Matumizi Yake. . Maswali yamekua mengi kila mtu akiuliza kazi za button mbali mbali kwenye gari yake. . Hivyo basi sababu magari ni tofauti na button ni nyingi. . Tutatengeneza E Book ya Kuhusu hii kitu kutokana na Maswali Yenu.
account_circle
Samatime Car Dealers Co Ltd(@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

⚠️ JINSI Kavishe alivyopata Ajali kisa taa ya ABS...
.
Jana tu hapa Kavishe amekuja ofisini akanisimulia jinsi alivyopata ajali siku ya Christmas Tarehe 25-12-2021...
.
By the time anamaliza story nikasema hii story lazima nishare na wewe utajifunza kitu lazima...
.

⚠️ JINSI Kavishe alivyopata Ajali kisa taa ya ABS... . Jana tu hapa Kavishe amekuja ofisini akanisimulia jinsi alivyopata ajali siku ya Christmas Tarehe 25-12-2021... . By the time anamaliza story nikasema hii story lazima nishare na wewe utajifunza kitu lazima... .
account_circle