Salutarious (@salutary45) 's Twitter Profile
Salutarious

@salutary45

|professional in machine tools and maintenance|

||arsenal fc||simba fc||Barcelona fc fan

ID: 2766996761

calendar_today11-09-2014 08:49:05

18,18K Tweet

1,1K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Sasa tunapata picha halisi ya Vita aliyokua anapigana John Pombe Magufuli. Vichwa vya habari na namna taarifa za kifo chake zinavyoandikwa na vyombo vya habari vya nchi za magharibi zinathibitisha hilo.Wanaandika kwa kejeli na chuki na inaelekea wamefurahi sana. Tazama mifano hii

Muumini mkubwa wa Katiba Mpya na mkosoaji asiyeogopa. Aliyechunguzwa juu ya Uraia wake na akanyang’anywa Pasi ya kusafiria. Mara mbili Magufuli akamwambia kuwa yeye ndiye atakaye Mzika na kweli akaongoza ibada yake ya Mazishi. Leo Severine Niwemugizi ametimiza miaka 25 ya Uaskofu

Kizazi Chetu kimewaona; •Obama na Putin •Lissu na Magufuli •Messi na Ronaldo •Mo Dewji na GSM •Diamond na Ali Kiba •Wasafi na Clouds FM

Kizazi Chetu kimewaona;
•Obama na Putin
•Lissu na Magufuli
•Messi na Ronaldo
•Mo Dewji na GSM
•Diamond na Ali Kiba
•Wasafi na Clouds FM
CLUB Magufuli (@clubmagufuli) 's Twitter Profile Photo

President Samia Suluhu Hassan has handed over a house to Mama Janeth Magufuli, the widow of the Fifth Phase President, Dr. John Pombe Joseph Magufuli. The house, located in the Kinondoni district of Dar es Salaam, was constructed by the government in accordance with the law. We

Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Jenerali Mabeyo anasema wakati Magufuli ameanza kuugua, viongozi wa vyombo vya Ulinzi walipewa taarifa wakawa wanaenda kumuona asubuhi na jioni. Mabeyo akiwa M/Kiti wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama wakashauriana Wampeleke Hospital ya Mzena na Madaktari wakapelekwa hapo Mzena

Jenerali Mabeyo anasema siku moja kabla ya Kifo cha Magufuli, hali ilibadilika nayeye Magufuli akajitambua kuwa hali imebadilika. Magufuli akasema nirudisheni Nyumbani nikafie nyumbani. Mabeyo na wenzake wakasema hapana, upo kwenye Mikono Salama na Madaktari wapo kukutibu.

Jenerali Mabeyo anasema siku moja kabla ya Kifo cha Magufuli, aliitwa na Magufuli Kisha akamwambia “CDF siwezi kupona amuru hawa Madaktari wanirudishe Nyumbani”. Mabeyo akamwambia sina Mamlaka hayo. Magufuli akasema “Yani CDF unashindwa kuamuru Madaktari wanirudishe Nyumbani?”

Alisoma Meatu na Karatu Secondary, kisha chuo akasoma Mzumbe na master akasoma huko Uingereza. Akafanya kazi kisha akaingia kwenye siasa akawa Mbunge. Rais Magufuli akamteua kuwa Naibu waziri na baadaye akamteua kuwa Waziri kamili. Hatimaye Luhaga Mpina amehamia ACT

TRUST ME BRO (@mwenyekit_i) 's Twitter Profile Photo

Anayejipost SURA yake anamuona anayepost VYAKULA mshamba, Anayepost vyakula anamuona anayepost MIAMALA mshamba, anayepost miamala anaona anayechat na mtu na kupost CONVO zao mshamba, anayepost convo anamuona anayepost vitu PERSONAL mshamba. Kila mtu ni MSHAMBA kwa namna yake.

Nawal Khalfan (@mrsbajabir) 's Twitter Profile Photo

Hivi unajua uchafu wa Mkapa kweli? Au mlikua hamjazaliwa? Au kwakua kulikua hakuna mitandao? Mkapa wa kumtakia dua kweli?😭. Halafu acheni kujipa moyo hata Nchi hii aje Malaika kuiongoza basi kila siku tutalia tu. Tuanze mabadiliko ndani ya familia zetu kama tunataka mabadiliko.

Enock Kiswaga (@therealekiswaga) 's Twitter Profile Photo

Mange na PolePole wakupasiana Mpira?😳 Something is fishy here.... Someone is talking kuagizwa kwa kontena la silaha kama kuagizaa Nguo Uturuki?😳 Hivi kumbe Mabeyo bado CDF na hatujuwi?😁😁 Raha leo maisha yake yote mpenda magari labda kwa wasio mjua na uwezo wa kununua

Police Force TZ (@tanpol) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Bw. Gasper Temba (30) ametekwa Jijini Arusha.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limetoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Bw. Gasper Temba (30) ametekwa Jijini Arusha.
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Kim Jong Un kiongozi wa Korea Kaskazini anaelekea China akiwa ndani ya Treni yake yenye ulinzi wa kivita wa hali ya juu. Kim anaenda kuhudhuria parade la Kijeshi na huko atakutana na viongozi wengine kama Putin wa Russia, kiongozi wa Cuba, Iran nk. Hapa kuna jambo linasukwa.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Kipindi cha Kambale, mtumishi wa wizara ya fedha Eng. Leopold Lwajabe alipotea baada ya watu kumfata ofisini kwake na kuondoka naye Baadaye polisi wakadai kuwa mhandisi Lwajabe amejinyonga

Kipindi cha Kambale, mtumishi wa wizara ya fedha Eng. Leopold Lwajabe alipotea baada ya watu kumfata ofisini kwake na kuondoka naye

Baadaye polisi wakadai kuwa mhandisi Lwajabe amejinyonga
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Nataka nikwambie POLEPOLE, huna UWEZO wala UHALALI wowote wa kupambana na mimi. Wakati wako, ukiwa MWENEZI CCM, watu WALITEKWA na KUPOTEZWA, MAITI ziliokotwa kwenye VIROBA. Nipo tayari KUPAMBANA nawe, tukutane kwa MKAPA.