Saleh Enterprises Limited (@salehyussuf2) 's Twitter Profile
Saleh Enterprises Limited

@salehyussuf2

ID: 1222564276885430273

calendar_today29-01-2020 16:57:11

1,1K Tweet

156 Followers

317 Following

Abdul Nondo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

"Tar 15 Sept ,ni siku ya Demokrasia Duniani . Jambo la msingi kusema ni kwamba Demokrasia yetu Tanzania imekuwa ikiamuliwa na matakwa ya watawala tangu 1992. Tamaduni ya kuheshimu misingi ya Demokrasia inatokana na mifumo imara ya utaasisi,sheria na katiba imara" Abdul Nondo ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Awesu Ally (Mkubwa) (@awesially) 's Twitter Profile Photo

+255 768 314 621 ERASTO Mosha ndio jina lilosajiliwa hiyo namba. Ni tapeli wa mtandaoni anaesimama kama Customer care wa hiyo kampuni fake ya INTUIT. @TCRA_Tz wachukulieni hatua hawa watu wamefanya utapeli mkubwa na kughushi nyaraka za BRELA.

+255 768 314 621 ERASTO Mosha ndio jina lilosajiliwa hiyo namba.

Ni tapeli wa mtandaoni anaesimama kama Customer care wa hiyo kampuni fake ya INTUIT. 

@TCRA_Tz wachukulieni hatua hawa watu wamefanya utapeli mkubwa na kughushi nyaraka za BRELA.
Saleh Enterprises Limited (@salehyussuf2) 's Twitter Profile Photo

Sudan News ุงู„ุทู„ุจ ุงู„ุณูˆุฏุงู† ูˆุณู„ุง ุฅู„ู‰ ุฏูˆู„ุฉ ุชู†ุฒุงู†ูŠุง ู„ูƒูŠ ูŠุณุชู…ุฑ ููŠ ุฏุฑุงุณู‡

<a href="/Sudan_tweet/">Sudan News</a> ุงู„ุทู„ุจ ุงู„ุณูˆุฏุงู† ูˆุณู„ุง ุฅู„ู‰ ุฏูˆู„ุฉ ุชู†ุฒุงู†ูŠุง ู„ูƒูŠ ูŠุณุชู…ุฑ ููŠ ุฏุฑุงุณู‡
Selemani Said Bungara (@bungarasaid) 's Twitter Profile Photo

Hongera ACT Wazalendo Hongera Mhe Jusa Umeeleweka sana. ACT Wazalendo ni Sauti ya Wasio na Sauti Chama Imara. Ukweli Uwajibikaji na Uwazi ndicho tunachohitajika. *Taifa la wote kwa Maslai ya wote*

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Mbuyu umeanguka. Kwaheri Rais wetu mstaafu, kiongozi wetu, mwanamageuzi, mshauri wetu na mwalimu wetu, Ali Hassan Mwinyi. Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji'un.

Mbuyu umeanguka. 

Kwaheri Rais wetu mstaafu, kiongozi wetu, mwanamageuzi, mshauri wetu na mwalimu wetu, Ali Hassan Mwinyi. 

Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji'un.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธUpdateโ€ผ๏ธ Hongereni na shukrani za dhati kwa kila mtu aliyechangia ๐Ÿ™๐Ÿฝ Tumefikisha mil 15.3 ndani ya masaa 48 Ili kutimiza azima yetu ya kumnunulia Tundu Antiphas Lissu gari jipya na imara ya kazi bado tunahitaji michango yenu ๐Ÿ™๐Ÿฝ Unaweza kuchangia zaidi ya mara moja ๐Ÿ™๐Ÿฝ Mungu awabariki!

โ€ผ๏ธUpdateโ€ผ๏ธ
Hongereni na shukrani za dhati kwa kila mtu aliyechangia ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tumefikisha mil 15.3 ndani ya masaa  48 
Ili kutimiza azima yetu ya kumnunulia <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> gari jipya na imara ya kazi bado tunahitaji michango yenu ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Unaweza kuchangia zaidi ya mara moja ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Mungu awabariki!