Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@abdulnondo2) 's Twitter Profile
Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@abdulnondo2

National Chairperson -ACT Wazalendo Youth League.

Am a Novus Homo.

ID: 908058232484233219

calendar_today13-09-2017 20:02:08

25,25K Tweet

123,123K Followers

2,2K Following

Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@abdulnondo2) 's Twitter Profile Photo

"Tar 15 Sept ,ni siku ya Demokrasia Duniani . Jambo la msingi kusema ni kwamba Demokrasia yetu Tanzania imekuwa ikiamuliwa na matakwa ya watawala tangu 1992. Tamaduni ya kuheshimu misingi ya Demokrasia inatokana na mifumo imara ya utaasisi,sheria na katiba imara" Abdul Nondo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ