Reuben Kingamkono
@reubenking89210
ID: 1655842095779786753
09-05-2023 07:48:57
289 Tweet
92 Followers
128 Following
Inawezekana sauti za watu hawa na za wengine wengi wenye maoni kama haya kuhusu Tundu Antiphas Lissu, ziwe ni sauti zisizo na maana kwa viongozi wanao husika na hili suala. Iweje Bunge la Tanzania na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi hakuna sauti yoyote inayo zungumzia suala hili.
Samia na CCM yako unaweza kutwambia kwanini mnaendelea kumshikilia mh Tundu Antiphas Lissu au mnatuona matako yenu kila siku tunavyo wambia tunataka mumuachie mh Tundu Antiphas Lissu zawadi yenu yakuendelea kukakaa nae inakuja endeleeni kukaza shingo
Wameandika🚨🔥 American Bar Association Center for Human Rights. Lissu ameshafungwa zaidi ya mwaka mmoja gerezani kwa kosa la uhaini lililozushwa tu kwa kuomba mageuzi ya uchaguzi huru. Serikali ya ya nduli amini mama Samia Suluhu na Mahakama ya Tanzania zimegeuza hotuba ya kisiasa
‼️🚨BREAKING NEWS CHADEMA FREE TO CONTINUE POLITICAL ACTIVITIES - COURT RULES‼️ The Court of Appeal in Dodoma has ruled that the only real opposition party Chadema Tanzania that was illegally banned from conducting political activities last year is now free to conduct activities as it