ray___meek (@raysonstephen1) 's Twitter Profile
ray___meek

@raysonstephen1

medical personnel 🥼
fan Simba $ real Madrid ⚽
Businessman

ID: 1523392954882314241

calendar_today08-05-2022 20:03:11

1,1K Tweet

467 Followers

1,1K Following

ELFUJEROOO…!!! (@bukujero_1500) 's Twitter Profile Photo

Huenda maisha tunayoishi sasa hayajafikia kiwango tunachokitaka, Lakini tukijaribu kulinganisha maisha haya na yale ya kitambo tutafahamu kuna hatua nzuri za mafanikio zimepigwa, Tuzidi kujiombea dua na tuwe wapambanaji wasio na moyo mwepesi wa kukata tamaa 🙏💪

Tanzania Abroad TV (@abroadtanzania) 's Twitter Profile Photo

Hivi huyo bibi yenu uwa anaelewa ? Mama huyu aachie nchi kwa ustawi wa vizazi vijavyo Asinuse sehemu wanakopesha, yaan na hao wenye PhD feki akina Mwigulu Nchemba, PhD nao wanaona ni sahihi nchi kuendeshwa hivi ! Nawapa miaka 4 tu Tanzania will be like Zimbabwe kwasababu ya

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

#Video Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay. Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya

Jay ES⚡ (@jay_electrician) 's Twitter Profile Photo

Hellow family, nasikitika sana kuwataarifu kuwa nimepotelewa na mama yangu mzazi tokea jana, ana changamoto ya afya ya akili ila sio kwa kiwango kikubwa, please help me to repost 🥺😭

Hellow family, nasikitika sana kuwataarifu kuwa nimepotelewa na mama yangu mzazi tokea jana, ana changamoto ya afya ya akili ila sio kwa kiwango kikubwa, please help me to repost 🥺😭
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

#FreePolepole #FreeHumphreyPolepole #Tanzania Share, repost, like acha dunia ijue serikali ya watekaji hii inawajibu wa kumwachia huru Polepole

#FreePolepole 
#FreeHumphreyPolepole 
#Tanzania

Share, repost, like acha dunia ijue serikali ya watekaji hii inawajibu wa kumwachia huru Polepole