Rasiael Nicholaus (@rasiael) 's Twitter Profile
Rasiael Nicholaus

@rasiael

ID: 2175800126

calendar_today05-11-2013 10:25:02

355 Tweet

17 Followers

379 Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🚨Tukae humu 👇🏾⁉️ 👉🏽 Samia Suluhu alituwekea humu taarifa ya kukabidhiwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi 👉🏽 Kwa mantiki hii Samia ni MZANZIBARI na si ukabila maana hakuna kabila inatoa kitambulisho - so huu uzanzibari ni nini? 😃 👉🏽 Kitambulisho hicho lazima uhakikiwe na kwa

🚨Tukae humu 👇🏾⁉️
👉🏽 <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> alituwekea humu taarifa ya kukabidhiwa kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi 
👉🏽 Kwa mantiki hii Samia ni MZANZIBARI na si ukabila maana hakuna kabila inatoa kitambulisho - so huu uzanzibari ni nini? 😃
👉🏽 Kitambulisho hicho lazima uhakikiwe na kwa
Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

Anaandika MalisaGJ Picha ya kwanza ni chumba cha mjane Judith tulipomtembelea mwaka 2021 baada ya kutoka stendi Ubungo. Chumba kimoja cha giza chenye godoro tu bila kitanda. Alijilaza hapo na watoto wake wote watano. Hichohicho ndio chumba, sebule na stoo hapohapo. Ndio maana

Anaandika <a href="/MalisaGJ_/">MalisaGJ</a> 

Picha ya kwanza ni chumba cha mjane Judith tulipomtembelea mwaka 2021 baada ya kutoka stendi Ubungo. Chumba kimoja cha giza chenye godoro tu bila kitanda. Alijilaza hapo na watoto wake wote watano. Hichohicho ndio chumba, sebule na stoo hapohapo. Ndio maana
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿 (@mkanaani_) 's Twitter Profile Photo

Chukua hii kutoka kwa mchungaji, asikutanganye mtu oohh leta fungu la kumi unapoanza kazi mpya au unapopandishwa cheo au unapo nunua kiwanja

Joramu Nkumbi (@nkumbijoram) 's Twitter Profile Photo

Umekuwa Mabruki mwana wa Mabruki Hapana Mimi naishi kwa tawakali Ni Makadara tu Ikiwa nimepiga teke URUMO Ni Kudra na kadari za Mola Jaalia.