paulo joseph (@paulojoseph069) 's Twitter Profile
paulo joseph

@paulojoseph069

ID: 3725497155

calendar_today21-09-2015 06:32:55

2,2K Tweet

28 Followers

74 Following

paulo joseph (@paulojoseph069) 's Twitter Profile Photo

Mh prof kwetu goba maji tunapatiwa kwa mgao lakini ikifiks zamu yetu dawasco kawe hatupatii maji kwingine eneo la jirani wanapata Kila siku ambayo amepangiwa .wametuhaidi kesho au jumamosi sijui kama tutapata.

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Ndo @IamJongwe__ aliwaambia watu wa design hii "Unasifia mpk tajiri ananuna!" Kama huyu jamaa kasetiwa wajue wameharibu. Kama alijipangia na kuchanganyikiwa bado kaharibu. Hii ni fedheha na wasaidizi wawe makini wasimweke Rais ktk situation kama hii #ChangeTanzania

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Alafu huyo jobless GPA 32 alitoa wapi nauli ya kutoka Musoma vijijini, pesa za matumizi na hela ya gesti 🤔 Tuacheni masihara jamani #ChangeTanzania

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema amekamilisha uchunguzi wa sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’ na kesho atazungumza. bit.ly/2EnyJ8h

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema amekamilisha uchunguzi wa sakata la kutekwa kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’ na kesho atazungumza. bit.ly/2EnyJ8h
Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) 's Twitter Profile Photo

Serikali ni mifumo (systems). Mifumo ina taratibu zake & wasemaji wake. Panapozuka wapambe lukuki kuvishwa usemaji & utetezi dhaifu wa Mtawala & Serikali ni ushuhuda tosha wa kufa kwa mifumo. Ni utawala nje ya mfumo. Only in Tz. "Mfalme na Utawala wake wako uchi". Muda utaongea!

fatma karume aka Shangazi (@fatma_karume) 's Twitter Profile Photo

Raisi hajiweki mwenyewe madarakani. Ama anawekwa kwa nguvu ya umma au kwa nguvu ya silaha (Jeshi). Kitandawili ni kwamba hakuna mtu aliyebaki Raisi milele, wanatoka tu. Anayetegemea nguvu ya silaha kuingia na kubaki madarakani hua anatolewa kwa nguvu hiyo hiyo. That’s life! 🤣

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Kwamba viongozi wa dini hakuna aliemwambia rais kuhusu hali mbaya ya uchumi? Mifumo mibovu ya kiuchaguzi, mauaji kwenye chaguzi,ubinywaji wa demokrasia, ajira mpya na mishahara ya watumishi kuongezeka ili kuwepo na ufanisi?katiba mpya!!!!! Tuna matatizo makubwa zaidi.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimehuzunishwa na kifo cha Teddy Mapunda. Tumepoteza Mwanamke hodari, mchapakazi, mbunifu, mahiri na aliyedhibitisha kwa vitendo kuwa Wanawake wanaweza. Nitamkumbuka kwa jinsi alivyojitoa kwa Chama na Serikali na alivyoipenda nchi yake. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina