Patrick Matondo (@patrickmatond11) 's Twitter Profile
Patrick Matondo

@patrickmatond11

ID: 989361076801298432

calendar_today26-04-2018 04:30:36

745 Tweet

146 Followers

1,1K Following

Patrick Matondo (@patrickmatond11) 's Twitter Profile Photo

Luhaga Mpina Kwa muda uliohudumu Jimbo la Kisesa inatosha kaka, umekuwa Naibu Waziri na Waziri kamili,mshukuru MUNGU kwa hatua hiyo. Toa nafasi kwa Watu wengine nao kutoa Utumishi wao kwa wana Kisesa.

Think Different (@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu alishampeleke Kikwete Moto toka zamani Kikwete anasema Richmond ilikuwa phantom company sasa kwa nini waziri aliyekuwa anasimamia Phantom company alikwenda nayo Ikulu na bado akabaki madarakani

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Wazee wa kimila pamoja na Machifu mkoani Morogoro wamefanya tambiko maalum kwa ajili ya kumpokea na kumuombea mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Samia Suluhu ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kampeni zake mkoani humo.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa Chama Cha Mapinduzi Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Jana usiku majira ya saa TANO USIKU tulifanikiwa KUDHIBITI jaribio la KUTEKWA kwa Mgombea UDIWANI kata ya KIVULE kupitia ACT WAZALENDO, ndugu LUTA MWITA MARWA.

Gwamaka π— π—•π—¨π—šπ—›π—œ (@gwamakambughi) 's Twitter Profile Photo

Ametekwa Kijana anayeitwa Elia Juma Msabaha(26) ametekwa tangu 28.8.2025 eneo la Uyole Mbeya. Simu zake zimekutwa Kwenye Mgahawa wa chakula ambao akionekana mara ya mwisho. Kwa taarifa zozote kuhusu Elia Msabaha awasuliane na ndugu yake kupitia 0754876109.

Ametekwa

Kijana anayeitwa Elia Juma Msabaha(26) ametekwa tangu 28.8.2025 eneo la Uyole Mbeya.
Simu zake zimekutwa Kwenye Mgahawa wa chakula ambao akionekana mara ya mwisho.
Kwa taarifa zozote kuhusu Elia Msabaha awasuliane na ndugu yake kupitia 0754876109.
𝐽𝑒𝑙𝑖𝑒𝑠 πΊπ‘Žπ‘π‘Ÿπ‘–π‘’π‘™ π‘€π‘€π‘–π‘‘π‘Ž (@mwitajulius2000) 's Twitter Profile Photo

Huyu ndiye Tyler Robinson dogo mwenye miaka 22 aliyembarua risasi ya shingo Charlie Kirk na kumuua. Charlie Kirk anatajwa kuwa mfuasi mkubwa wa Rais Donald Trump, na mpinzani mkubwa wa mapenzi ya jinsia moja lakini asiyeunga mkono haki za watu weusi. Imewachukua FBI chini ya

Huyu ndiye Tyler Robinson dogo mwenye miaka 22 aliyembarua risasi ya shingo Charlie Kirk na kumuua.

Charlie Kirk anatajwa kuwa mfuasi mkubwa wa Rais Donald Trump, na mpinzani mkubwa wa mapenzi ya jinsia moja lakini asiyeunga mkono haki za watu weusi.

Imewachukua FBI chini ya
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Selemani Bungara (Bwege), amewataka Watanzania kutojihusisha na maandamano yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, akitahadharisha kuwa hatua hiyo itahatarisha amani na itakuwa mwisho wa CHADEMA.

Muhoozi Kainerugaba Quotes. (@mkainerugaba_) 's Twitter Profile Photo

East Africa must be one! One country! We must be one from the Indian Ocean to the Atlantic! Anyone who says different is an enemy of Africa!!!

East Africa must be one! One country! We must be one from the Indian Ocean to the Atlantic! Anyone who says different is an enemy of Africa!!!