Dr otsward (@otsward2020) 's Twitter Profile
Dr otsward

@otsward2020

Medical doctor//MedexpertHurb//Father of Two chidren

ID: 2670719178

calendar_today22-07-2014 21:40:28

3,3K Tweet

4,4K Followers

4,4K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mtu mzima hawezi kupotea, ng’ombe na mbuzi ndio wanapotea. Watu wanatekwa, kupotezwa na kuuwawa. Lazima tuite utekaji kwa jina lake halisi. Lazima utekaji ukomeshwe. #NoReformsNoElection

Democracy Union of Africa (@dua_africa) 's Twitter Profile Photo

DUA demands the immediate, unconditional release of Hon. Tundu Lissu ahead of his July 1 treason hearing. Targeting CHADEMA’s leadership is an attack on democracy and freedom. The world must act. #FreeTunduLissu #StandWithCHADEMA #DefendDemocracy #Tanzania International Democracy Union United Nations

DUA demands the immediate, unconditional release of Hon. Tundu Lissu ahead of his July 1 treason hearing. Targeting CHADEMA’s leadership is an attack on democracy and freedom. The world must act. #FreeTunduLissu #StandWithCHADEMA #DefendDemocracy #Tanzania

<a href="/idualliance/">International Democracy Union</a> <a href="/UN/">United Nations</a>
Dr otsward (@otsward2020) 's Twitter Profile Photo

Democracy Union of Africa International Democracy Union United Nations As a concerned Tanzanian, I stand in solidarity with Hon. Tundu Lissu and CHADEMA. The continued legal persecution of opposition voices threatens our democracy, human rights, and the hope for genuine electoral reforms. I call for justice, fairness, and the protection of our

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Hakuna ushahidi wa kumfunga Lissu kwa uhaini, au uchochezi. Ni hofu ya uchaguzi tu. Kumtupa Lissu jela si mwisho wa madai ya mageuzi. Rukeni muwezavyo. Mageuzi hayaepukiki. #NoReformsNoElection

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Walinitendea maumivu yasiyosemeka, kisha wakatoweka kana kwamba si kitu. Walikusudia kuniua, lkn Mungu akakataa. Wasiojulikana mliniumiza sana wazee, ndio maana nachukia sana upande ule unaowaajiri kutuumiza hivi.

Walinitendea maumivu yasiyosemeka, kisha wakatoweka kana kwamba si kitu. Walikusudia kuniua, lkn Mungu akakataa. Wasiojulikana mliniumiza sana wazee, ndio maana nachukia sana upande ule unaowaajiri kutuumiza hivi.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Watanzania sio wajinga: Watanzania wanataka moja, either uwe ccm au upinzani. Moto au baridi huwezi kuwa vuguvugu. Ukiwa kibaraka hutaeleweka. Njia ya kuokoa Nchi hii ni #NoReformsNoElection

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

WATU WOTE WANAJUA! Watu wote wanajua, nani anamiliki rekodi isiyo na shaka ya kuhongwa na dola kufanya kazi zote chafu. Watu wote wanajua, nani ni dalali mashuhuri wa kazi zote haramu za dola na anazifanya kwa uhodari wote. Watu wote wanajua, nani ambaye hajawahi kumiliki

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Good morning #Tanzania Simba wa Tanganyika anaendelea kunguruma na wananchi tumekataa kuwa wanyonge! #NoReformsNoElection ni wimbo wa Taifa na hakuna wakuuzuia sasa imefika hadi ndani ya CCM #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Good morning #Tanzania 
Simba wa Tanganyika anaendelea kunguruma na wananchi tumekataa kuwa wanyonge!
#NoReformsNoElection ni wimbo wa Taifa na hakuna wakuuzuia sasa imefika hadi ndani ya CCM 
#NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection #NoReformsNoElection 
#NoReformsNoElection
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

English—No reforms, no election Italian—Nessuna riforma, nessuna elezione German—Keine Reformen, keine Wahlen French—Pas de réformes, pas d'élections Russian—Net reform, net vyborov Swahili—Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi Arabic—لا إصلاحات، لا انتخابا[ت

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Tupo 2025, kipindi ambacho uchumi umechuchumaa, unatangaza ajira ya mshahara wa laki 7, halafu unataka kuwafanyisha watu interviews—acha uduanzi wa kupotezea watu muda bn Kazi chini ya mil 1.5 usisumbue watu na interviews za kuuliza ujinga kama "ulijuaje kama tumetangaza ajira?"

Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Napigiwa simu na viongozi wangu kutoka Majimboni, kwamba eti Tume ya Uchaguzi imewapelekea barua za mwaliko kwenda kwenye vikao vya kupokea maelekezo ya Uchaguzi, na wanawasisitiza wasaini na Dispatch kuonyesha wamepokea hizo barua. Sasa nimebaki nawashangaa Tume, sisi Chadema

Dr otsward (@otsward2020) 's Twitter Profile Photo

Wachaga matepeli sana, Wao mbege wanaona sio pombe ya kienyeji wakishiwa utasikia nna hamu na mbege wanagiza mpka kwa delivery hapa Dar mpaka bar wanakunywa. Aisee na ss wa komoni wanyaki, ugimbi wabena/wapangwa na kihindi wasafwa/wanyiha tusijione wanyonge tuanze michezo yao

Wachaga matepeli sana, Wao mbege wanaona sio pombe ya kienyeji wakishiwa utasikia nna hamu na mbege wanagiza mpka kwa delivery hapa Dar mpaka bar wanakunywa. Aisee na ss wa komoni wanyaki, ugimbi wabena/wapangwa na kihindi wasafwa/wanyiha tusijione wanyonge tuanze michezo yao
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kabla sijalala. I wanna see if y’all can show some love to SC Tundu Lissu. Today been a great day. Let’s give the defiant TAL his flowers. Top lad!✌️🙌🏼

Kabla sijalala. I wanna see if y’all can show some love to SC Tundu Lissu. Today been a great day. Let’s give the defiant TAL his flowers. Top lad!✌️🙌🏼