Onesmo Gerson (@onesmo_gerson) 's Twitter Profile
Onesmo Gerson

@onesmo_gerson

ID: 1569621388063043584

calendar_today13-09-2022 09:38:22

2,2K Tweet

86 Takipçi

111 Takip Edilen

UK in Tanzania (@ukintanzania) 's Twitter Profile Photo

“There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.” - UK's Human Rights Ambassador, Eleanor Sanders gov.uk/government/spe…

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨 NAOMBA USHIRIKIANO WENU‼️ Hebu tukumbushane viongozi wa dini na makanisa /misikiti waliopatwa na misukosuko na awamu hii ya Samia Suluhu tokea 2021 👉🏽Gwajima na kanisa lake la Ufufuo na Uzima walifungiwa na waumini kuumizwa 👉🏽 Kanisa Katoliki - watawa na mapadri akiwemo Fr

‼️🚨 NAOMBA USHIRIKIANO WENU‼️
Hebu tukumbushane viongozi wa dini na makanisa /misikiti waliopatwa na misukosuko na awamu hii ya <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> tokea 2021
👉🏽Gwajima na kanisa lake la Ufufuo na Uzima walifungiwa na waumini kuumizwa 
👉🏽 Kanisa Katoliki - watawa na mapadri akiwemo Fr
Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Tundu Antiphas Lissu mapema leo akiwasili Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, ambapo leo maombi namba 28922/2025 akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama itaanza

Laizer🐐 (@officialekl) 's Twitter Profile Photo

Watanganyika wenzangu, je tutaendelea kukaa kimya wakati haki inahitaji sauti zetu? Taifa letu linajengwa juu ya misingi ya utawala wa sheria, haki na demokrasia. Ni wakati wa wananchi kusimama kwa amani na kudai haki ifuate mkondo wake. Tunaomba na kusisitiza kwa taasisi husika

Watanganyika wenzangu, je tutaendelea kukaa kimya wakati haki inahitaji sauti zetu? Taifa letu linajengwa juu ya misingi ya utawala wa sheria, haki na demokrasia. Ni wakati wa wananchi kusimama kwa amani na kudai haki ifuate mkondo wake. Tunaomba na kusisitiza kwa taasisi husika
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

The goal is, Watanzania wapate haki na uwezo wa kuchagua madiwani wanaowataka, wabunge wanaowawaka na Rais wanaemtaka na chama wanachokitaka… We have to take the power away from a small group of people ambao wameiteka nchi kiasi kwamba wanatuchagulia viongozi, wanatuchagulia

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko

AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. 

Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. 

Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention ya dunia iko
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Prof Kabudi kwanza Happy Easter Ila we ni mtu mzima na pamoja na tofauti zetu nimekuheshimu ila unachofanya sasa ni usanii ambao haupendezi kabisaa 😁 Yaani unasema hakuna kesi ICC wakati uliambiwa ukweli mgumu na huyo mzungu lawyer kuwa hii kesi ni ngumu kwa sababu zifuatazo 👉🏽

Prof Kabudi kwanza Happy Easter
Ila we ni mtu mzima na pamoja na tofauti zetu nimekuheshimu ila unachofanya sasa ni usanii ambao haupendezi kabisaa 😁
Yaani unasema hakuna kesi ICC wakati uliambiwa ukweli mgumu na huyo mzungu lawyer kuwa hii kesi ni ngumu kwa sababu zifuatazo 
👉🏽
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Kaole sanaa group - maigizo ya kujaribu kufunika matobo Na tungekaa kimya hili nalo mngeacha lipite mje na kiripoti kifeki! Mlishindwa nini kutangaza Jumamosi kuwa mmeongezs muda hadi mnakuja na backdating za kitoto!? 😁 Haya Chande na litume lenu simameni kidete kama hamtaki

Kaole sanaa group - maigizo ya kujaribu kufunika matobo 
Na tungekaa kimya hili nalo mngeacha lipite mje na kiripoti kifeki! Mlishindwa nini kutangaza Jumamosi kuwa mmeongezs muda hadi mnakuja na backdating za kitoto!? 😁
Haya Chande na litume lenu simameni kidete kama hamtaki
Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

Kwanini tunawatumia barua FIFA ili wacancel Afcon TZ? Sisi tupeleke nguvu kwenye kampeni ya maandamano siku ya ufunguzi wa afcon na sio kupeleka nguvu kwenye Afcon kuwa cancelled Tz. Labda sijaelewa vizuri, naomba kueleweshwa na wenye uelewa zaidi. Tunaihitaji Afcon iwepo Tz

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje wa bunge la Ulaya mh David McAllister, ametoa ujumbe kwa utawala dhalimu kumuachia mhe Tundu Lissu.. amesema haya leo tarehe 9/4/2026 kama kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Mwenyekiti wetu. Dunia inajua na Dunia haitanyamaza.

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Kwahiyo kwasababu Ulaya nako watu huwa wanapotea ndo kunahalalisha vitendo vya Nduli Idd Amin Mama kuteka na kupoteza wakosoaji wake.?

Kwahiyo kwasababu Ulaya nako watu huwa wanapotea ndo kunahalalisha vitendo vya Nduli Idd Amin Mama kuteka na kupoteza wakosoaji wake.?
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Hawa watu imefika hatua siyo kwamba hawajiheshimu, lakini wamepoteza utu wa binadamu. Kwa hiyo GAZA, Palestine kuna mabango ya CCM? Gaza walifanya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025? Gaza kuna vituo vya kupiga kura vimeandikwa INEC? Gaza ndiyo watu waliobeba silaha walivaa jezi za

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Huyu Bongo Zozo sio Mtanzania lakin ni mtu ambae anaelewa maumivu na mateso ambayo Watanzania tunapitia, hawezi kufumbia macho udhalimu wa Idd Amin Mama. Mungu amlinde aisee maana ni wachache sana wenye moyo kama wake.🙏😭

Liberatus Mwang'ombe (@liberatus80) 's Twitter Profile Photo

Marekani imetutumia salamu za Muungano wananchi wa Tanzania. samia suluhu hassan na genge lake wamepotezewa kwa sababu wapo madarakani kwa damu na uongozi wao hautambuliki. Togo & Sierra Leone Marais wao wametambuliwa. Kifupi: nchi zote wametajwa Marais na wananchi, isipokuwa

Marekani imetutumia salamu za Muungano wananchi wa Tanzania. samia suluhu hassan na genge lake wamepotezewa kwa sababu wapo madarakani kwa damu na uongozi wao hautambuliki. Togo &amp; Sierra Leone Marais wao wametambuliwa. 

Kifupi: nchi zote wametajwa Marais na wananchi, isipokuwa
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio kauli ngumu wanazopenda hawa VIBAKA—kinyume na hapo hawa WASENGE wanatuona kama mikundu yao. Asante Raisi BAK kusimama na TAL hadharani na kuwakumbusha WAKOLONI WEUSI #FreeTunduLissu REPOST 500

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu will be free! The issue is not that but the time and circumstances that this will take place! Mnaomshauri Mwuaji in Chief Samia mnafikiri kuna busara imebaki hapo? Sijuu mganga wake ndo kamshauri aendelee kumshikilia Lissu ila akitajiwa tu #FreeTunduLissu anang’aka

Tundu Lissu will be free! The issue is not that but the time and circumstances that this will take place! 
Mnaomshauri Mwuaji in Chief Samia mnafikiri kuna busara imebaki hapo? Sijuu mganga wake ndo kamshauri aendelee kumshikilia Lissu ila akitajiwa tu #FreeTunduLissu anang’aka