GOA MOTORS (@nyagongoahmed) 's Twitter Profile
GOA MOTORS

@nyagongoahmed

FOUNDER & CO-DIRECTOR
(GOA GROUP ENTERPRISESltd)/LAND INVESTMENT CONSULTANT/MECHANICS CAREER/VIP,TOURS & SAFARIS PROFESSIONAL DRIVER/POLITICIAN/father/husband/

ID: 1513751372000280579

calendar_today12-04-2022 05:31:23

6,6K Tweet

806 Followers

3,3K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

My brother ✊🏽πŸ”₯ John Heche Hii ndo ilikuwa hotuba bora ya leo katika msiba! Full stop! Hakikisha unaisambaza ktk magroup yako yote ewe mtanzania! Bila kupindisha Heche ameeleza kwa nini Chadema Tanzania ni chama kikuu Tanzania CCM si chama imebaki dola! DNA aliyowaachia muasisi

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Ramadhan Cup ni ukosefu wa adabu, ni ukosefu wa adabu, maanake hawa Ramadhan Cup wakitoka kwenye Ramadhan Cup watakwenda Ijumaa Cup, watakwenda masahaba Cup hawa, watakwenda Adhuhuri Cup, watakwenda watakwenda watakwenda mwisho...hebu kuweni na adabu na dini ya Mwenyezimungu".

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Ninaunga mkono adhabu kwa watoto kama njia ya kurekebisha tabia. Lakini, ukatili wa namna hii hauwezi kuhesabika kama jambo la kawaida. Hapana lazima tuupinge.

John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

"Walinifunga kwa pingu, wakachukua mikono yangu wakafunga pamoja na miguu, kisha wakaweka mti katikati na kuniinua, Mmoja alikuwa akiniingizia kitu sehemu ya haja kubwa na mwingine alikuwa akinipiga miguuni". Agather Atuahire, Wakili na Mwanaharakati wa Uganda, akielezea ukatili

MwanzoTvPlus (@mwanzotvplus) 's Twitter Profile Photo

#TANZANIA: FATHER KITIMA AMUONGOZA RAIS SAMIA KUAGA MWILI WA KARDINALI PENGO Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Padre Charles Kitima hii leo Februari 27, 2026 katika Misa ya kumuaga aliyekuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar Es Salaam, Mwadhama Polycarp

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuwa leo, tarehe 10 Aprili 2026, Makamu Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa John Heche, ameongoza jopo la viongozi wa chama katika kikao na ujumbe maalum wa Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu