nsubisi (MCTS/MCSE) (@nsubisinsubi) 's Twitter Profile
nsubisi (MCTS/MCSE)

@nsubisinsubi

MCTS|MCDBA|Data Scientist|Old School HipHop Fan|Simba SSC|ManUtd DieHard Fan

ID: 964472783253245953

calendar_today16-02-2018 12:13:25

2,2K Tweet

120 Takipรงi

151 Takip Edilen

Mateo (@luganomwakimi) 's Twitter Profile Photo

TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME. kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki. Leo ntakuonyesha namna...

TUMIA REMOTE  CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.

kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.

Leo ntakuonyesha namna...
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

UNAUMWA MARA KWA MARA, HUJUWI CHANZO NINI...MAJI KUPUNGUA MWILINI, KINGA ZA MWILI KUDHOHOFIKA. JE...?? Unafahamu madhara ya Junk foods katika afya yako..?? 1. Junk food ina kiwango kikubwa cha kalori, mafuta, na sukari, ambacho huchangia kwa kiwango kikubwa kuongezeka kwa

UNAUMWA MARA KWA MARA, HUJUWI CHANZO NINI...MAJI KUPUNGUA MWILINI, KINGA ZA MWILI KUDHOHOFIKA.

JE...?? Unafahamu madhara ya Junk foods katika afya yako..??

1. Junk food ina kiwango kikubwa cha kalori, mafuta, na sukari, ambacho huchangia kwa kiwango kikubwa  kuongezeka kwa
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Sababu Kuu (4) zinazo Sababisha Shahawa Nyepesi Na Kupelekea (Low Sperm Count). 1. Homoni kuvurugika (hormono imbalance). Tatizo hili limekuwa gumzo kwa wanaume wengi kutokana na Life style, nakupelekea upungufu wa homoni ya (Testosterone). 2. Upungufu wa madini ya zinc kwa

Sababu Kuu (4) zinazo Sababisha Shahawa Nyepesi Na Kupelekea (Low Sperm Count).

1. Homoni kuvurugika (hormono imbalance).

Tatizo hili limekuwa gumzo kwa wanaume wengi kutokana na Life style,  nakupelekea upungufu wa homoni ya (Testosterone).

2. Upungufu wa madini ya zinc kwa
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

๐€๐…๐˜๐€ ๐˜๐€๐Š๐Ž ๐๐ˆ ๐‰๐”๐Š๐”๐Œ๐” ๐‹๐€๐Š๐Ž ๐๐ˆ๐๐€๐…๐’๐ˆ ๐๐€ ๐Œ๐“๐€๐‰๐ˆ ๐–๐€๐Š๐Ž, ๐ˆ๐“๐”๐๐™๐„. 1. Kunywa kikombe cha maji mapema asubuhi hii; ni nzuri kwa figo zako na husaidia kuanzisha mchakato wa kimetaboliki kwa mwili. โ†’ Ikiwa kunywa maji asubuhi mapema kunakufanya

๐€๐…๐˜๐€ ๐˜๐€๐Š๐Ž ๐๐ˆ ๐‰๐”๐Š๐”๐Œ๐” ๐‹๐€๐Š๐Ž ๐๐ˆ๐๐€๐…๐’๐ˆ ๐๐€ ๐Œ๐“๐€๐‰๐ˆ ๐–๐€๐Š๐Ž, ๐ˆ๐“๐”๐๐™๐„.

1. Kunywa kikombe cha maji mapema asubuhi hii; ni nzuri kwa figo zako na husaidia kuanzisha mchakato wa kimetaboliki kwa mwili.

โ†’ Ikiwa kunywa maji asubuhi mapema kunakufanya
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

ELIMU YA SHERIA Law of Tort, ni sheria ambayo inatoa fursa kwa mlalamikaji (claimant) kufungua kesi ya madai mahakamani pale anapoamini kwamba kuna mtu mwingine ametoa taarifa za UONGO dhidi yake, na KUMCHAFUA au kusababisha kupoteza hadhi (reputation) yake ndani ya Jamii.

ELIMU YA SHERIA

Law of Tort, ni sheria ambayo inatoa fursa kwa mlalamikaji (claimant) kufungua kesi ya madai mahakamani pale anapoamini kwamba kuna mtu mwingine ametoa taarifa za UONGO dhidi yake, na KUMCHAFUA au kusababisha kupoteza hadhi (reputation) yake ndani ya Jamii.
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

1. Kunywa maji asubuhi hii. Figo zako zitakushukuru. 2. Kula angalau yai moja leo. Ubongo wako utakushukuru. 3. Fanya mazoezi kwa angalau dakika 30 leo au tembea kwa muda mrefu. Moyo wako utakushukuru. 4. Endelea kunywa maji siku nzima. Figo zako zitaendelea kushukuru. 5.

1. Kunywa maji asubuhi hii. Figo zako zitakushukuru.

2. Kula angalau yai moja leo. Ubongo wako utakushukuru.

3. Fanya mazoezi kwa angalau dakika 30 leo au tembea kwa muda mrefu. Moyo wako utakushukuru.

4. Endelea kunywa maji siku nzima. Figo zako zitaendelea kushukuru.

5.
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

STOP โœ‹๏ธ USING VIAGRA AND START KEGELS!! โ†’ Improve Your Blood Flow. โ†’ Lasting Longer. โ†’ Build Your Stamina. โ†’ Boost Your Testosterone. A Thread ๐Ÿงต (Video On Comments) ๐Ÿ‘‡

STOP โœ‹๏ธ  USING VIAGRA AND START KEGELS!!

โ†’ Improve Your Blood Flow.
โ†’ Lasting Longer.
โ†’ Build Your Stamina.
โ†’ Boost Your Testosterone. 

A Thread ๐Ÿงต (Video On Comments) ๐Ÿ‘‡
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

FRIDAY AFYA TIPS REPOST & BOOKMARK ..๐Ÿฉบ Maziwa ๐Ÿฅ›โ†’ Hamu ya Tendo la ndoa. Strobel ๐Ÿ“ โ†’ Mmengโ€™enyo wa chakula (bowel health) Apple ๐ŸŽ โ†’ Kupunguza uzito (weight loss) Almonds & Karanga ๐Ÿฅœ โ†’ Testosterone. Vitunguu saumu ๐Ÿง„ โ†’ Sumu mwilini (Detox) Maji๐Ÿ’ฆ โ†’ Kwa Ajili ya

FRIDAY AFYA TIPS  REPOST & BOOKMARK ..๐Ÿฉบ

Maziwa ๐Ÿฅ›โ†’ Hamu ya Tendo la ndoa.

Strobel ๐Ÿ“ โ†’ Mmengโ€™enyo wa chakula (bowel health)

Apple ๐ŸŽ โ†’ Kupunguza uzito (weight loss)

Almonds & Karanga ๐Ÿฅœ โ†’ Testosterone.

Vitunguu saumu ๐Ÿง„ โ†’ Sumu mwilini (Detox)

Maji๐Ÿ’ฆ โ†’ Kwa Ajili ya
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

KEGELS EXERCISES FOR MALE STREGTH, โ†’ Lasting Longer โœ…๏ธ โ†’ Libido โœ…๏ธ โ†’ Increasing Male Strengths โœ…๏ธ Haya Hapa Mazoezi ya KEGELS (Video On Comments) ๐Ÿ‘‡

KEGELS EXERCISES FOR MALE STREGTH,

โ†’ Lasting Longer โœ…๏ธ
โ†’ Libido โœ…๏ธ
โ†’ Increasing Male Strengths โœ…๏ธ

Haya Hapa Mazoezi ya KEGELS (Video On Comments) ๐Ÿ‘‡
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45-60 kabla ya Game ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ Karanga Mbichi + Mihogo mibichi + Nazi, Pata na Glass ya Maziwa.

CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45-60 kabla ya Game ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ

Karanga Mbichi + Mihogo mibichi + Nazi, Pata na Glass ya Maziwa.
Kabigwa_Afya๐Ÿ’Š (@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

UKIAMKA...! 1. Kunywa Glass 1-2 za Maji Asubuhi hii, Fanya hivyo Kwa Ajili ya Vital organs zako ๐Ÿซ€! 2. Pata Angalau dk 15-30 za Mazoezi ya Asubuhi, KEGEL ni MUHIMU zaidi Kwa Mwanaume! 3. Oga Maji Baridi (Zingatia mazingira na sehemu iliyopo). 4. โ€œKaa Mbaliiโ€ na Sukari Nyingi.

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

IPO HIVI... Ili kuhakikisha uume unasimama vizuri tena kwa muda mrefu nilazima msisimko uanze kuzalishwa kwenye mfumo wa ubongo (neurotransmitters)... Baada ya kuzalishwa neurotransmitters kwenye ubongo, Mfumo wa mwili unazalisha kemikali aina ya nitric oxide ambayo inaenda

IPO HIVI...

Ili kuhakikisha uume unasimama vizuri tena kwa  muda mrefu nilazima msisimko uanze kuzalishwa kwenye mfumo wa ubongo (neurotransmitters)...

Baada ya kuzalishwa neurotransmitters kwenye ubongo, Mfumo wa mwili unazalisha kemikali aina ya nitric oxide ambayo inaenda
Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Naomba retweets hapa wakuu Big News! ๐ŸŽ‰ Kwa wateja waliolipia router kwa 110k miezi ya nyuma, unaweza kupata bando la 70k kwa mwezi kwenye menu yako! Kwa wateja wapya: Router ni 110k ya activation, kisha bando linaanzia 70k mwezi unaofuata. Bei za vifurushi ni kama

Naomba retweets hapa wakuu 

Big News! ๐ŸŽ‰

Kwa wateja waliolipia router kwa 110k miezi ya nyuma, unaweza kupata bando la 70k kwa mwezi kwenye menu yako!

Kwa wateja wapya: Router ni 110k ya activation, kisha bando linaanzia 70k mwezi unaofuata.

Bei za vifurushi ni kama
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen. Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa (Azoospermia), ๐Ÿ‘‡

Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen.

Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni  kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa  (Azoospermia), ๐Ÿ‘‡
Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Maandishi haya siyo mageni jijini, labda kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa jiji ni maandishi tuliyoyazoea ~ ngoja kidogo nakupigia ~ babe nikuombe kitu? ~ mimi siyo mzoefu sana ~ ni mzazi mwenzangu tu ~ sijui unenipa nini ~ babe, simu yangu ina 5% ~ baada ya dakika 10 nakuja

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!? Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu wako. HIPO HIVI... Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?

Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu  Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu  wako.

HIPO HIVI...

Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani