Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile
Mr Health💊💉

@mkunga_og

Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapies || Sexual health & Reproductive expert. 🧠

ID: 1196394736556359686

linkhttps://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/ calendar_today18-11-2019 11:51:47

43,43K Tweet

92,92K Takipçi

690 Takip Edilen

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!? Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu wako. HIPO HIVI... Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani

Detox, Kutoa Sumu Mwilini...!! JE..!! Unatumia njia gani kutoa sumu mwilini..!?

Unaweza ukawa Huna majibu....Kwasababu  Detox yawezakuwa ikawa sio utaratibu  wako.

HIPO HIVI...

Hatua ya kwanza na ya muhimu kabisa katika kuelekea kuwa na afya njema, ni kutoa sumu mwilini yaani