Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile
Martin Maranja Masese

@iamartin_

Full-time Father | Sperm That Won The Race | Public Spirited | Think Deep, Don’t Sink | Cogito, ergo sum |

ID: 126657061

calendar_today26-03-2010 15:32:42

148,148K Tweet

590,590K Followers

1,1K Following

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Maandishi haya siyo mageni jijini, labda kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa jiji ni maandishi tuliyoyazoea ~ ngoja kidogo nakupigia ~ babe nikuombe kitu? ~ mimi siyo mzoefu sana ~ ni mzazi mwenzangu tu ~ sijui unenipa nini ~ babe, simu yangu ina 5% ~ baada ya dakika 10 nakuja