Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰

@mkunga_og

Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapies || Sexual health & Reproductive expert. ๐Ÿง 

ID: 1196394736556359686

linkhttps://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/ calendar_today18-11-2019 11:51:47

43,43K Tweet

92,92K Followers

690 Following

Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen. Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa (Azoospermia), ๐Ÿ‘‡

Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen.

Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni  kiashiria cha mbegu kuwa chache (Oligospermia) Au kutokwepo kwa mbegu kabisa  (Azoospermia), ๐Ÿ‘‡