NSOMI (@nsomisayi) 's Twitter Profile
NSOMI

@nsomisayi

Mathematician ||Dad || Husband ||@Young Africa fun || @Liverpool & @Barcelona fun.
Failure is not An options.

contact me;[email protected]

ID: 1153946907577868289

calendar_today24-07-2019 08:35:56

1,1K Tweet

1,1K Followers

243 Following

Peace Man (@meshackyunus) 's Twitter Profile Photo

@MfalmewaX Passport ni utambulisho wa wewe nje ya nchi yako. Visa ni kibali au ruhusa ya kupokelewa nje ya nchi yako. Sijuii unanielewa😂😂

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

Kamanimeshawahi kukusema vibaya Baba ,unisameheee..! Mimi ni binadamu,nimeumbwa na madhaifu yangu,alafu ubishi nimezaliwa nao,siyo kama napenda Mimi kusema Chama zaidi ya Azizi Ki haikuwa akili yangu,kama siyo pombe basi nilirogwa tu. Nataka Dunia ijue kuwa ktk nafasi ya

Kamanimeshawahi kukusema vibaya Baba ,unisameheee..!

Mimi ni binadamu,nimeumbwa na madhaifu yangu,alafu ubishi nimezaliwa nao,siyo kama napenda

Mimi kusema Chama zaidi ya Azizi Ki haikuwa akili yangu,kama siyo pombe basi nilirogwa tu.

Nataka Dunia ijue kuwa ktk nafasi ya
Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Nimeona bajeti ya mwekezaji kwenye usajili msimu huu ni sh 6 billion. Nimeona masimango mengi dhidi yangu kutoka kwa mbumbumbu! Sitochoka kutoa elimu ya bure. Muikatae sawa, muikubali sawa. Hakunaga elimu mbaya. Hakunaga ukweli ulioaibika, ni suala la muda tu kabla haujasimama

Watoto News (@watotonewstz) 's Twitter Profile Photo

Quote of the week: “Being a father is the most important role I’ll ever play. Everything I do is to set an example for my kids.” ~ LeBron James (Basketball Player). Ni tabia gani nzuri ambayo unayo na ungependa mtoto wako arithi toka kwako?

Quote of the week: “Being a father is the most important role I’ll ever play. Everything I do is to set an example for my kids.” ~ <a href="/KingJames/">LeBron James</a> (Basketball Player).
Ni tabia gani nzuri ambayo unayo na ungependa mtoto wako arithi toka kwako?
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Tumefika mwisho wa mwaka si kwa ujanja wetu bali kwa Neema ya Mungu. Pichani ni SAYI NDUTE NSOMI mdogo wa NSOMI na mwanafuzi 3rd year Institute of Social Work, anadaiwa Ada (450K). Kumbuka hata kidogo ni sadaka yenye maana 🙏 #Control No 994980151324 Jina-SAYI NDUTE NSOMI

Tumefika mwisho wa mwaka si kwa ujanja wetu bali kwa Neema ya Mungu. Pichani ni SAYI NDUTE NSOMI mdogo wa <a href="/NsomiSayi/">NSOMI</a> na mwanafuzi 3rd year Institute of Social Work, anadaiwa Ada (450K). 

Kumbuka hata kidogo ni sadaka yenye maana 🙏

#Control No 994980151324
Jina-SAYI NDUTE NSOMI
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Habari Wakuu bado naendelea kumuombea Ada huyu kijana ili afanikiwe kuhitimu chuo. Ukitoa kwake unakuwa umefungua ukurasa mpya kwake. Yupo 3rd year na kiasi anachodaiwa mpk sasa ni 450k. Kulipa ni direct chuoni kupitia control number niliyoandika hapo kwenye hiyo post ya chini.

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Wakuu hata ukirepost itafika mbali yawezekana mwenye uwezo wa kumsaidia dogo yupo kwenye TL yako. RT ifike mbali huyu kijana utakuwa umetoa pia mchango.

JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

WAKATI MAWAZO YANAPOKUWA KOSA. TUNDU LISSU SIO MHAINI #UZI Historia inajirudia kwa namna tofauti. Mnamo 1849, Fyodor Dostoevsky alifungwa si kwa kuua, si kwa kuiba, BALI kwa kufikiri na kuandika kwa uhuru. Leo, Afrika bado inaishi kipindi hicho kwa majina tofauti....

WAKATI MAWAZO YANAPOKUWA KOSA.

TUNDU LISSU SIO MHAINI

#UZI
Historia inajirudia kwa namna tofauti. Mnamo 1849, Fyodor Dostoevsky alifungwa si kwa kuua, si kwa kuiba, BALI kwa kufikiri na kuandika kwa uhuru. Leo, Afrika bado inaishi kipindi hicho kwa majina tofauti....
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Si kila anayefungwa hugeuka kuwa shujaa. ILA fahamu kuwa kila aliyekuja kubadilisha historia aliwahi kukaa mahali pa kimya, akafikiri kwa muda mrefu kuliko wengine. Gereza humlazimisha mtu kukaa kimya. Kimya hicho kinaweza kuwa cha aina 2; cha kuvunjika au cha kutafakari kwa kina

T (@tayanahtibs) 's Twitter Profile Photo

Dear TAL, Siku hii watanzania husherekea na familia, kaka mkubwa uko gerezani bila familia yako kwa kesi ya uhaini kwa msimamo kuikomboa nchi hii, inasikitisha sana. Naomba binafsi nikutumie salam za XMass, Mungu aendelee kukulinda na akupe nguvu. Amen. Tundu Antiphas Lissu