Mwanambokaa (@mwanambokap2) 's Twitter Profile
Mwanambokaa

@mwanambokap2

Think big ,
creativity,Possibility ,Make it happen

ID: 1351951747279892489

calendar_today20-01-2021 17:57:33

218 Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Message sent! Ukistaafu alafu kila kukicha unaonekana ubavuni wa mwenye ofisi si sawa! Mshauri unashauri nini hadi mikutano unaenda kuwakilisha kimataifa ๐Ÿ™„ Hapa ndo penyewe ๐Ÿ”ฅ asante Kanisa Katoliki๐Ÿ™๐Ÿฝ #NoReformsNoElection #TutaelewanaTu

Mtaifa๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@mtanganyikaorg) 's Twitter Profile Photo

Ndani ya miaka 4 tu ya Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM, nafasi ya Katibu Mwenezi Taifa imepita mikononi mwa watu 6: Polepole โ†’ Shaka โ†’ Sophia Mjema โ†’ Makonda โ†’ Amos Makala โ†’ Kenani. CCM imevunja rekodi ya dunia ya kubadilisha msemaji kuliko hata bendi za taarabu!

Mstaafu (@tanzyetu) 's Twitter Profile Photo

Hofu ya watawala juu ya Gwajima inaweza wakati mwingine kueleweka. Gwajima hajawahi kufanya mkutano popote nchi hii usishone watu. Nimekuwekea picha tatu za kibabe ambazo CCM hawana mpaka kesho. Watu wanaosombwa na bodaboda, treni, mabasi na maroli bado hawajai kabisa mkutanoni.

Hofu ya watawala juu ya Gwajima inaweza wakati mwingine kueleweka. Gwajima hajawahi kufanya mkutano popote nchi hii usishone watu. Nimekuwekea picha tatu za kibabe ambazo CCM hawana mpaka kesho.

Watu wanaosombwa na bodaboda, treni, mabasi na maroli bado hawajai kabisa mkutanoni.
Mwanambokaa (@mwanambokap2) 's Twitter Profile Photo

Nchi yetu imegeuka na kuongozwa na kikundi cha watu faulani ,na familia zao ,Sami na wanae ,Angela na wanae ,Wakwe zao #Niwakatiwakusimamakuiteteanchiyetu.Tanzania simama tena SATIVA17 Maria Sarungi Tsehai Tanzania Leaks

Nchi yetu imegeuka na kuongozwa na kikundi cha watu faulani ,na familia zao ,Sami na wanae ,Angela na wanae ,Wakwe zao 
 #Niwakatiwakusimamakuiteteanchiyetu.Tanzania simama tena
<a href="/Sativa255/">SATIVA17</a> <a href="/MariaSTsehai/">Maria Sarungi Tsehai</a> <a href="/TanzaniaLeaks/">Tanzania Leaks</a>