mwambingama (@mwambingama) 's Twitter Profile
mwambingama

@mwambingama

Climate change expert || Human security and food security analyst ||
God fearing....truth set us free

ID: 1096122523371126784

calendar_today14-02-2019 19:02:29

1,1K Tweet

1,1K Followers

3,3K Following

Tundu Antiphas Lissu (@tundualissu) 's Twitter Profile Photo

Ujumbe kutoka gerezani Ukonga wa Mh. Tundu Lissu 21/11/2025 Tume za Uchunguzi ni dekio la uchafu wa serikali na Jaji Mkuu Mohamed Chande ndiye msafishaji mkuu wa uchafu huo!! Alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Mauaji Bonde la Ihefu mwaka 2006. Matokeo yake? Sifuri!!

Mercides  (@caltexjr1) 's Twitter Profile Photo

Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali Repost 990

Kwa wapenzi wa Chadema Tanzania nzima , huu ni wakati wa kuonyesha umoja wetu

Hali tuliyokuww nayo wote tunaijua
Kama mfumo umekufanya uote hii twit Tafadhali ritwit ifike mbali

Repost 990
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu ambaye yupo ndani ya kuta za gereza Ukonga asingeweza kwa njia yoyote ile kumtafuta Dr. Chakwera Kwa hiyo hapa hoja ya nani alimtafuta mwenzake it’s obvious ni Chakwera ndiye aliyemtafuta Lissu ama kwa maelekezo, au utashi binafsi. Kauli ya Lissu “Nipo tayari kwa

Webiro Wakazi Wassira #TheLeader (@wakazi) 's Twitter Profile Photo

MADELU SYSTEM MALFUCTION Hivi huyu mlughalugha ni hana akili au anajitoa akili kwa makusudi ?! 🤔 Yaani 1Wao ndio Waibe Kura 2Wao ndio Waue Wananchi wasio na hatia kwa Risasi za Moto 3Wao ndio Wavunje Katiba ya Nchi 4Wao ndio wajiweke Madarakani kinyume na Katiba 5Wao ndio

MADELU SYSTEM MALFUCTION

Hivi huyu mlughalugha ni hana akili au anajitoa akili kwa makusudi ?! 🤔

Yaani

1Wao ndio Waibe Kura
2Wao ndio Waue Wananchi wasio na hatia kwa Risasi za Moto
3Wao ndio Wavunje Katiba ya Nchi
4Wao ndio wajiweke Madarakani kinyume na Katiba
5Wao ndio
Rugemeleza Nshala (@rugemeleza) 's Twitter Profile Photo

Kwa vyovyote itakavyotolewa na kusema Tume ya Jaji Chande Othmani Juu ya Vurugu na Mauaji ya October 29, 2025 ni batili na haramu tokea ilipoundwa. Kwa sababu zifuatazo: 1. Imeundwa na Samia Suluhu Hassani ambaye ndiye mtuhumiwa namba Moja kwani ndiye alitoa amri ya kuwapiga

Solomon Franco (@mamgunda1) 's Twitter Profile Photo

Tumezidi kujitonyesha zaidi ya kujiponya kama Taifa. Ewe Mwenyezi Mungu uwaadhibu wote walioshiriki kwenye jambo, ikiwezekana tuimbe "parapanda"

Tumezidi kujitonyesha zaidi ya kujiponya kama Taifa. 
Ewe Mwenyezi Mungu uwaadhibu wote walioshiriki kwenye jambo, ikiwezekana tuimbe "parapanda"
UK in Tanzania (@ukintanzania) 's Twitter Profile Photo

The High Commissioner Marianne Young FCDO was pleased to meet with CHADEMA Vice Chairman John Heche and Secretary General MNYIKA John John to discuss recent political developments and the state of democracy in Tanzania.

The High Commissioner <a href="/MYoungFCDO/">Marianne Young FCDO</a> was pleased to meet with CHADEMA Vice Chairman <a href="/HecheJohn/">John Heche</a> and Secretary General <a href="/jjmnyika/">MNYIKA John John</a> to discuss recent political developments and the state of democracy in Tanzania.
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️🚨MBONA WAMEMKURUPUSHA LISSU NA KUMTOA GEREZANI KINYEMELA‼️ Jamani angalieni Lissu hata hajachana nywele wamemwamsha na kumkurupusha! Wamembeba na gari waliong’oa plate nunber na kwa siri Hawakutaarifu mawakili wake This is not right! Kulikuwa na emergency gani ? Hii ni hatari!

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

Hongera sana DCI Ramadhan Kingai kwa kufiwa na Mama yako Mzazi, hayo maumivu ambayo unapitia ndo familia nyingi tulipitia Oktoba 29 baada nyinyi kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi. Tena wewe unaafadhali maana umeweza kumzika Mama ako kwa heshima huko

Hongera sana DCI Ramadhan Kingai kwa kufiwa na Mama yako Mzazi, hayo maumivu ambayo unapitia ndo familia nyingi tulipitia Oktoba 29 baada nyinyi kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi.

Tena wewe unaafadhali maana umeweza kumzika Mama ako kwa heshima huko