chief mwakalinga (@mwakalinga185) 's Twitter Profile
chief mwakalinga

@mwakalinga185

to see people happiness

No one knows about tomorrow!!๐Ÿ˜ 

We live once ๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Just show love to everyone

I love @liverpoolfc

ID: 2791226926

calendar_today29-09-2014 10:53:08

3,3K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rehemagm) 's Twitter Profile Photo

Wafilipi 4:8 [8]Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo.

Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rehemagm) 's Twitter Profile Photo

God, sometimes I have a hard time forgiving othersโ€”Iโ€™m sorry. You always give me grace when I mess up, and I want to extend that same grace to others. Help me to be quick to forgive others because You are quick to forgive me. Thank You Jesus. Amen.

Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Kuna ile mshua mzee wa tungi anarudi night kali anaforce anawaamsha mle nae mnarudi kulala asubuhi unahisi uliota unakula๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Jonathan Msafiri (@msafiri_jona) 's Twitter Profile Photo

The ChandO Mkumbushe kua kuna vitu atavipata na kuna vitu atavikosa,..kuna vitu vitawahi na kuna vitu vitachelewa kuja kwenye maisha yake kwaivo awe na subira na aside na tamaa.

Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@rehemagm) 's Twitter Profile Photo

Kwanini walokole wengi ni masikini sababu maarifa ya akili haimo ndani yao, uwezi chukua muda mwingi kuomba tu kwamba Mungu atakuletea pasipo kufanya kazi. Fanya kazi na Mungu atabariki kazi za mikono yako.Usiweke maombi mbadala wa uvivu, Utaishia kuita wenzio freemason.

Rango Odds Arena ๐“ƒต (@rangooddsarena) 's Twitter Profile Photo

Odds 2500+ Mechi 22 โœ…๏ธโœ…๏ธ Hili treni likitoa Nitagawa Giveaway ambayo haijawahi kutokea duniani. Giveaway itaanza na wale wanaosupport kazi zetu ๐ŸŽฏ๐Ÿ’ฅ๐Ÿค Kwa wale wanaolitaka ๐Ÿ‘‡ ใ€‹Click follow ๐Ÿค ใ€‹Repost โ™ป๏ธ ใ€‹Comment Done โœ…๏ธ Utakutana na Code DM kama kawaida

Odds 2500+

Mechi 22 โœ…๏ธโœ…๏ธ

Hili treni likitoa Nitagawa Giveaway ambayo haijawahi kutokea duniani.

Giveaway itaanza na wale wanaosupport kazi zetu ๐ŸŽฏ๐Ÿ’ฅ๐Ÿค

Kwa wale wanaolitaka ๐Ÿ‘‡

ใ€‹Click follow ๐Ÿค
ใ€‹Repost โ™ป๏ธ
ใ€‹Comment Done โœ…๏ธ

Utakutana na Code DM kama kawaida