Msangimelky (@msangimelk57121) 's Twitter Profile
Msangimelky

@msangimelk57121

marko 12;30

ID: 1639890793505648643

calendar_today26-03-2023 07:23:42

1,1K Tweet

179 Followers

850 Following

MwanaHabari (@mwanahabarinews) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimelaani kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu huku wakimuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati aachiwe huru.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#NoReformsNoElection #FreeTunduLissuNow #TUTAKUWEPO🫵🏾😎 Kwa Wingi wetu 24.4 tujazane KISUTU kushuhudia LISSU AKINYONGWA MPAKA KUFA. Hawa wakina mUrilo CHUPI CHINI, ndiomaana wanakazana KUTUMBUA MIMACHO. REPOST 400🔥🔥🔥🚨🚨🚨

#NoReformsNoElection  

#FreeTunduLissuNow 

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Kwa Wingi wetu 24.4 tujazane KISUTU kushuhudia LISSU AKINYONGWA MPAKA KUFA.

Hawa wakina mUrilo CHUPI CHINI, ndiomaana wanakazana KUTUMBUA MIMACHO.

REPOST 400🔥🔥🔥🚨🚨🚨
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ndiomaana mlikuwa mnakimbia wanetu.🫵🏾😂 YANGA BINGWA NBC.🫵🏾😂 Mwananchi REPOST BILA SABABU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Ndiomaana mlikuwa mnakimbia wanetu.🫵🏾😂

YANGA BINGWA NBC.🫵🏾😂

Mwananchi REPOST BILA SABABU.

TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 14 Anaendelea Mhe. Lissu Lissu ameulizwa je utakuwa na mashahidi wangapi? Mashahidi wangu watakuwa kama ifuatavyo 1. Samia Suluhu Hassan atakuwa ni shahidi wangu wa kwanza Hakimu anasema anasema kuna taarifa inasambazwa muda huu, anasema kuna

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Kesho kesi ya Mwenyekiti Tundu Lissu itakuja kwa hatua ya hukumu ndogo dhidi ya pingamizi aliloweka juu ya hati ya mashitaka ilivyo na mashaka kisheria. Sasa , Mke wangu jana kaniambia “ Godbless , kuna sinema niliitazama siku moja , nikaona kipande ambacho kumbe kuna wakati