Bwanashamba wa taifa ๐น๐ฟ
@msakufarm
New Generation Farmer and Agronomist, feel free to inbox us if you have any questions on farming.
WhatsApp wa.me/+255767337029
ID: 1387722119702884353
29-04-2021 10:56:11
35,35K Tweet
10,10K Followers
1,1K Following
80% ya vitunguu saumu duniani kote vinalimwa China. Huzalisha zaidi ya tani milioni 26.5. Ukiachana na sababu za kuongeza ladha kwenye chakula wao hulima sana kutokana na faida zake kiafya. Wako Kigwa Aveki
Kigwa Aveki China ndiyo msambazaji mkuu wa Kitunguu Saumu Africa Mchina anabebwa na - Technology - Mitaji - Sera
Bwanashamba wa taifa ๐น๐ฟ Na akutumie hata liteni la bando
Kumbukumbu mujarabu. Hii ni mwaka 2016/2017 nikiwa kwenye mafunzo chini ya kaka AGR. Boniphace Mwanje ,elimu inatafutwa sana na kamwe usiruke hatua ya kuisaka elimu kwani kuna muda utafika hutoweza kuipata tena,leo hii naitumia. Hawa wakuu Muumba awaweke sana In Sha Allah ๐น๐ฟ๐ซก
Haya yote mabovu ๐ฝ๐ฝ gunia la kilo 120 una toa kilo 3-5 ya mahindi kama haya mabovu. ๐ sasa we jipigie hesabu zako za 700 /= Kwa kilo kwenye gunia ukasahau mabovu. Mponda Sabinus Bwanashamba wa taifa ๐น๐ฟ Capricorn โ valentina ๐จ๐ฉ โค๏ธ ๐จ๐ฉ David Majura Daniel Batondane.
Aiseee, nashukuru sana Mdogo angu Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa kwa hii Kumbukumbu. Hapa ilikuwa inapigwa shule ya PESTICIDES kwa Ujumla (Insecticides, Fungicides, Herbicides, Treaters/Dressers) etc.. Hakika Eng Octavian Lasway Industry tumeijengaโฆ Asante Sana Horticulturist Iddi Haridi - owner Zalk Ltd&Mwefa
AGR. Boniphace Mwanje Eng Octavian Lasway Ahsante sana hili darasa product iliyotoka humu wote wamoto huko waliko,kila mmoja hapo yuko sehemu ๐ซก๐ซก๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Watu wengi wana BIG PICTURE kwenye kilimo nini Wanataka Kutimiza Kwenye safari yao Ila Hawana Maarifa na taarifa za Kuwafikisha Huko. Karibuni Bwanashamba wa taifa ๐น๐ฟ tuweze kuwaongoza kwenye safari yenu ya kilimo biashara.