Moja Moja (@mojaimwe) 's Twitter Profile
Moja Moja

@mojaimwe

ID: 1908807067194068992

calendar_today06-04-2025 09:01:30

4,4K Tweet

85 Followers

206 Following

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

SHIKILIENI HAPO HAPO! Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tanzania kinafanya shughuli nyingi kwa wakati mmoja pengine bila hata kujua, chama hiki kimerudisha matumaini ya ukombozi kwa wananchi baada ya miaka zaidi ya 64. Chadema imekuja kuwafumbua macho wananchi waliokuwa

SHIKILIENI HAPO HAPO!

Chama cha Demokrasia na Maendeleo <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a> kinafanya shughuli nyingi kwa wakati mmoja pengine bila hata kujua, chama hiki kimerudisha matumaini ya ukombozi kwa wananchi baada ya miaka zaidi ya 64.

Chadema imekuja kuwafumbua macho wananchi waliokuwa
Tausi Likokola (@tausilikokola) 's Twitter Profile Photo

🇺🇸Foreign Senate committee pressed for answers-and the responses said a lot. Accountability isn’t optional. Transparency isn’t negotiable. Hakuna cha eti ripoti ya kwangu🇹🇿 Tunaendelea kufuatilia. It’s not over until justice is served. We will keep pushing. Kiswahili Huku

Laizer🐐 (@officialekl) 's Twitter Profile Photo

"Huwezi kubatiza madai ya mabadiliko ya sheria kuwa ni uhaini. Tundu Antiphas Lissu anatekeleza wajibu wake wa kizalendo kulinda demokrasia yetu. Kila dakika anayokaa gerezani ni doa kwa mfumo wetu wa haki. Mfungueni mara moja! #FreeTunduLissu #JusticeForLissu"

"Huwezi kubatiza madai ya mabadiliko ya sheria kuwa ni uhaini. <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a> anatekeleza wajibu wake wa kizalendo kulinda demokrasia yetu. Kila dakika anayokaa gerezani ni doa kwa mfumo wetu wa haki. Mfungueni mara moja!
#FreeTunduLissu #JusticeForLissu"
khalifa said #PALESTINE 🇵🇸 ☭🌹 (@thatboykhalifax) 's Twitter Profile Photo

mawaziri wanafanya drama nyingi kabla ya kuwasilisha bajeti za wizara zao bungeni, na hata eti kusherehekea baada ya wabunge kuzipitisha, kama vile wabunge hao wanaweza kweli kuzuia bajeti ya serikali, au bunge halijatawaliwa na ccm. substantively also, hizo bajeti ni utapeli tu!

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

📌BOOKMARK THIS‼️ (English version below) 🚨‼️UKIONA KOBE JUU YA MTI, KAWEKWA‼️ Novemba 2025 kundi la watu linalojiita la viongozi wa dini ya kiislamu iliibuka na kauli hii 👇🏾 ikieleza kuwa maandamano yanaratibiwa na Kanisa Katoliki na wakristo na aliahidi kujipanga nchi nzima na

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

Mazombie walijiamini na walikuwa wanazurura bila woga Mnaona silaha zao? Hizi silaha ndo Chande anasema kaingiza mwanaharakati au nwanasiasa? Na polisi walikuwa wanawaona hawawafanyi kitu! Hadi AFP News Agency waliwafotoa na imeshasambaa dunia nzima! Acheni kutuona wajinga ninyi wauaji!

Mazombie walijiamini na walikuwa wanazurura bila woga 
Mnaona silaha zao? Hizi silaha ndo Chande anasema kaingiza mwanaharakati au nwanasiasa? Na polisi walikuwa wanawaona hawawafanyi kitu! Hadi <a href="/AFP/">AFP News Agency</a> waliwafotoa na imeshasambaa dunia nzima! 
Acheni kutuona wajinga ninyi wauaji!
Shija S.S.Shibeshi (@shijashibeshi) 's Twitter Profile Photo

Mhe Tundu Antiphas Lissu amefikishwa siku 393 akiwa Gerezani. Makosa ya yake ni; 1. Kupigania mifumo mzuri ya uchaguzi 2. Kupigania haki za watanzania 3. Kutaka mabadiliko ya kikatiba 4. Kupigania rasilimali za Nchi yake. #FREETUNDULISSU #LISSUSIOMHAINI

Mhe <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>  amefikishwa siku 393 akiwa Gerezani.
Makosa ya yake ni;
1. Kupigania mifumo mzuri ya uchaguzi
2. Kupigania haki za watanzania 
3. Kutaka mabadiliko ya kikatiba
4. Kupigania rasilimali za Nchi yake.
#FREETUNDULISSU 
#LISSUSIOMHAINI
Moja Moja (@mojaimwe) 's Twitter Profile Photo

Fuck you Didier Drogba , you should be ashamed of yourself .All the exposure you privileged to have through your soccer career and you still didn't see how this will affect your personal fans ,Chelsea fans or Ivory coast fast . Fuck you bitch ass Nigger

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mauaji ya makusudi, yaliyofanywa kwa Watanzania na watu wanaopaswa kuwalinda… Baadae wanatumia tume ya Chande kama dekio la kuwasafisha, kuficha uchafu na uozo huu hautakubalika… Dunia inajua na inafuatilia, lazima haki itendeke. Tume huru ya kuchunguza na kubaini ukweli.

Deogratias Munishi (@deomunishi) 's Twitter Profile Photo

Despite hiring a lobbying company to clean her image in the US, it's boiling nicely against tyrant Samia Suluhu & her murderous gang. The October, 2025 #TanzaniaMassacre can't & won't be covered up. Thank you Sen. Jeanne Shaheen & Senator Ted Cruz for speaking up on Tanzania!

sultan bachi (@sultanbachi) 's Twitter Profile Photo

Upo gerezani kwa sababu ya kulijali na kulithamini taifa, ukidai Tanzania yenye uhuru, haki, mageuzi, chaguzi huru na uwajibikaji. Usiku mwema Mwenyekiti. Ipo siku ambayo utaing’arisha na kuifanya Tanzania kuwa imara tena. Watanzania wanakupenda sana!

Upo gerezani kwa sababu ya kulijali na kulithamini taifa, ukidai Tanzania yenye uhuru, haki, mageuzi, chaguzi huru na uwajibikaji.

Usiku mwema Mwenyekiti. Ipo siku ambayo utaing’arisha na kuifanya Tanzania kuwa imara tena.

Watanzania wanakupenda sana!