Moris daudi (@modarisy) 's Twitter Profile
Moris daudi

@modarisy

#Democracy is Life💚

ID: 247683034

calendar_today05-02-2011 10:06:53

7,7K Tweet

1,1K Followers

4,4K Following

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

WAZIRI WA FEDHA: Napendekeza kupunguza ada ya usajili wa pikipiki za biashara kutoka Tsh. 340,000 hadi Tsh. 170,000 kwa miaka mitatu. Ada husika italipwa wakati wa usajili wa awali pekee #JamiiForums #JamiiAfrica #Accountability #BajetiKuu2025 #Governance #Uwajibikaji

I STAN A KING! (@stany_midea27) 's Twitter Profile Photo

John Heche Mlituaminisha Mkipewa uongozi wa juu wa chama unyonge utaisha, malalamiko yataisha, kutekwa kutaisha. Maana aliekua mwenyekiti alitumika na kulea haya, Cha ajabu kwenu ndio imezidi. Bora yule aliweza hata kuandamana na Binti yake, nyie mnabwekea mitandaoni tu.Stupid